Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

I hope it ain't a publicity stunt, otherwise kazi nzuri sana askari wetu.., big up!!!
 
duuh wote ni wale wafuga mandevu na wavaa ndala,hivi nan kawalaani watu hawa! elimu ndgo shida sana
 
duuh wote ni wale wafuga mandevu na wavaa ndala,hivi nan kawalaani watu hawa! elimu ndgo shida sana

The stupid comment from the stupid person! Nyie kama mngekuwa na elimu kubwa mngeumbuliwa kwenye sakata la vyeti feki kwenye taasisi za umma? Mnajifanya mmesoma sana kumbe hakuna lolote ujanjaujanja na kufoji vyeti ndio zenu. Kwa taarifa yenu uhakiki mwingine wa vyeti unakuja wenye diploma na digrii feki jiandaeni.
 
Hahahaa unajidanganya!!! Wanachotafuta ni taarifa ambazo kwao zitakuwa mpya!!!pia kuna kutojiamini!! Nakwambia wanajua kila kitu.....wamekaa na hili sakata mw nusu sasa.....wamehonga hadi pesa , kutumia nguvu wanajua vyote!! Wameenda mbali na wanajua hata pesa zilivyoingia kuwafikia walengwa na zimetoka wapi!! Wanajua wanajua.....sema watu wa kule rufiji wanakufa na Tai shingoni ile kama imani kwao!! wanawajua hadi madalali wa kurubuni vijana kujiunga mafunzo na pesa wanawa wazazi.......usije ukasikia siasa wanajua kila kitu hata sababu kufanya hivyo wanajua!! Jidanganye tu uji m utaona moto wao!! Tuna vijana wetu wanakesha huko mwaka sasa.........sio kitu kutunga!!!!!
Kusema kwamba polisi 'wanajua kila kitu' ni uongo. Hata taarifa ya Kamanda Sirro inaonesha wazi kwamba polisi bado wanaomba/wanatafuta taarifa kuhusu matukio ya ujambazi na mauaji huko Kitibi, Mkuranga, Ikwiriri.
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Plz, jiunge na Polisi uende Kibiti "ukawaonyeshe jinsi ya ku enforce law and order", nadhani wanahitaji somo lako kwa vitendo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaaa, hii sayanzi ya viwanda cherahani uchochezi kupimwa kuthibitishwa kwa mkojo. Tanzania pekeee ipo.



hhahaha nmecheka sana ! kama namuona yule waziri wa viwonder anavyoflow! dah baba muongeji yule jaman khaaa
 
kwa nini wanatangaza lakini? magaidi yanapata hasira za kulipa visasi wanapotangazwa wamepigwa.

kwa nini busara isitumike nyie watu?!!
Ulitaka wasitangaze ili mseme kuwa mbona polisi imekaa kimya,au ndo imeshindwa kuwakamata wauaji hao? Binafsi,nilitamani waturushie picha za hao magaidi wakiwa washaunguzwa na risasi. Sio kututajia majina tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu wakienda kuwaonyesha walipo wenzao polisi wanawaua na hao watoataarifa! Hiyo imekaaje?!

Kwanini mara zote polisi wakienda na mtoa taarifa/shahidi ambaye wanamshikilia tayari kuwaonyesha walipo wengine, wakifika naye huko porini wanamuua?! Kwanini?!
ha ha ha ha ha ha ha mkuu umenichekesha sometime inafanyika hivyo ili kupeleka meseji kwa wenzao kuwa soon watakiona cha mtema kuni
 
ha ha ha ha ha ha ha mkuu umenichekesha sometime inafanyika hivyo ili kupeleka meseji kwa wenzao kuwa soon watakiona cha mtema kuni
Kama polisi wamefanya hivyo unavyosema, sijui ni kipi kinanisikitisha zaidi: polisi kuua mtuhumiwa in cold blood au ni wewe kuwa na fikra kama hizo na kisha kujiona kwamba uko right kabisa...
 
Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....

Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......

Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.

Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
..jinga wewe,..au nawewe ni mmoja wapo ? ?...
 
Kamanda Siro apandishwe cheo kama kipo hata kuwa Gavana wa BOT kwa kazi nzuri iliyo fanywa na vijana wake...

Hizi ndiyo taarifa tunazo taka kusiskia kutoka kwa jeshi la polisi...
..jambazi gani mrembo namna hiyo?
 
Back
Top Bottom