FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
I hope it ain't a publicity stunt, otherwise kazi nzuri sana askari wetu.., big up!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujanielewa njoo md nitakuelewesha kuendelee kuelewesha hapa naweza onekana msumbufuJaribu na wewe , ili ujue ni siasa au kweli then ndio uje humu utuambie hayo mawazo yako.
Ukitumia hekima na busara zako utaheshimika mkuu. Sio kila kitu lazima ukomenti bora ukae kimya kama mimi.duuh wote ni wale wafuga mandevu na wavaa ndala,hivi nan kawalaani watu hawa! elimu ndgo shida sana
duuh wote ni wale wafuga mandevu na wavaa ndala,hivi nan kawalaani watu hawa! elimu ndgo shida sana
Kusema kwamba polisi 'wanajua kila kitu' ni uongo. Hata taarifa ya Kamanda Sirro inaonesha wazi kwamba polisi bado wanaomba/wanatafuta taarifa kuhusu matukio ya ujambazi na mauaji huko Kitibi, Mkuranga, Ikwiriri.
Atamlipa nani sasa? Wale waliokuwa wanauawa usiku mbele ya wake zao na watoto or?Duh mungu atalipa
Plz, jiunge na Polisi uende Kibiti "ukawaonyeshe jinsi ya ku enforce law and order", nadhani wanahitaji somo lako kwa vitendo!Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
Haaaaaa, hii sayanzi ya viwanda cherahani uchochezi kupimwa kuthibitishwa kwa mkojo. Tanzania pekeee ipo.we ni mchochezi .. mkojo unahitajika tafadhari
Haaaaaa, hii sayanzi ya viwanda cherahani uchochezi kupimwa kuthibitishwa kwa mkojo. Tanzania pekeee ipo.
Ulitaka wasitangaze ili mseme kuwa mbona polisi imekaa kimya,au ndo imeshindwa kuwakamata wauaji hao? Binafsi,nilitamani waturushie picha za hao magaidi wakiwa washaunguzwa na risasi. Sio kututajia majina tu.kwa nini wanatangaza lakini? magaidi yanapata hasira za kulipa visasi wanapotangazwa wamepigwa.
kwa nini busara isitumike nyie watu?!!
Ndg inabidi ujifunze ku-decode police language. Hizo kauli zao kipolisi zipo wazi kbsaa.Je, kulikuwa kuna ulazima wa kuwaua? Ingependeza kama wengine wakamatwe wakiwa hai ili kulisaidia jeshi la polisi katika upelelezi.
ha ha ha ha ha ha ha mkuu umenichekesha sometime inafanyika hivyo ili kupeleka meseji kwa wenzao kuwa soon watakiona cha mtema kuniAlafu wakienda kuwaonyesha walipo wenzao polisi wanawaua na hao watoataarifa! Hiyo imekaaje?!
Kwanini mara zote polisi wakienda na mtoa taarifa/shahidi ambaye wanamshikilia tayari kuwaonyesha walipo wengine, wakifika naye huko porini wanamuua?! Kwanini?!
Kama polisi wamefanya hivyo unavyosema, sijui ni kipi kinanisikitisha zaidi: polisi kuua mtuhumiwa in cold blood au ni wewe kuwa na fikra kama hizo na kisha kujiona kwamba uko right kabisa...ha ha ha ha ha ha ha mkuu umenichekesha sometime inafanyika hivyo ili kupeleka meseji kwa wenzao kuwa soon watakiona cha mtema kuni
..jinga wewe,..au nawewe ni mmoja wapo ? ?...Hell no. .that shouldn't be the way!
Washukiwa hawatakiwi kuuwawa hata kidogo.....
Kazi ya police ni ku enforce law and order na sio judgement......
Tukiwaachia police uhuru huo... Tumekwisha.
Hili ni kwa Usalama wetu sote, Hakuna Chama Wala Ushabiki kwenye mambo kama haya......
..jambazi gani mrembo namna hiyo?Kamanda Siro apandishwe cheo kama kipo hata kuwa Gavana wa BOT kwa kazi nzuri iliyo fanywa na vijana wake...
Hizi ndiyo taarifa tunazo taka kusiskia kutoka kwa jeshi la polisi...