Jambazi PETER MBUGUA ambaye alikuwa kwenye gari aina ya CARINA kumpigia simu jambazi MACHO MBAYA aliyekuwa kwenye gari aina ya LAND CRUISER na kumwambia kuna DEFENDER za polisi zinawafuata nyuma kwa kuanzia pale mjini HIMO sasa wanafanyaje..?, na hapo inaelekea usiku wa tatu.
Sifa hiyo ya KENYA kuwa chuo cha ujambazi AFRIKA MASHARIKI NA KATI ilikuwa ya kweli maana sio TANZANIA tu hata UGANDA, KONGO, MSUMBIJI n.k kote huko wanalia na majambazi wa KENYA kuja kushirikiana na majambazi wa mataifa yao kutekeleza ujambazi mkubwa.
Hapo kwenye bladfakeni sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acha makasiriko na wivu, ungaunga na wew uandike kama unaona rahisi, bladfakeni wew
Hheheh umenitg nije kuna mchongo?
Atakua mjinga kama alipiga hela zote hizo na hakunipa mgao.
Kuna jambazi moja kutoka huko Kenya lilikuwa linaitwa TAKO MOJA-- hilo lilikuwa hatari.[emoji848]
Yupo Rombo Masaera. Alikatwa mshipa wa mguu wa kulia na kaka yake.
Akikaa hawezi tena kuinuka
Nyumbani huko ila mimi pale Rombo,mkuu Ushiri ,Bodi karibuni sanaUlitaka kuandika Rombo Mamsera
Nyumbani huko ila mimi pale Rombo,mkuu Ushiri ,Bodi karibuni sana
Kule mwandukuAyawu mmeku wakwa, uvaidikire
Ndio ni mimi, KARIBU SANA....!!!!Wewe macho mbaya kuna mtu kule Instagram anatumia jina la "ijuehistoria" ndo wew? Naona amesimulia na ujambazi ubungo mataa