Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

Jambazi PETER MBUGUA ambaye alikuwa kwenye gari aina ya CARINA kumpigia simu jambazi MACHO MBAYA aliyekuwa kwenye gari aina ya LAND CRUISER na kumwambia kuna DEFENDER za polisi zinawafuata nyuma kwa kuanzia pale mjini HIMO sasa wanafanyaje..?, na hapo inaelekea usiku wa tatu.


🤔😲😱😱 hii ni habari fikirishi.
 
Sifa hiyo ya KENYA kuwa chuo cha ujambazi AFRIKA MASHARIKI NA KATI ilikuwa ya kweli maana sio TANZANIA tu hata UGANDA, KONGO, MSUMBIJI n.k kote huko wanalia na majambazi wa KENYA kuja kushirikiana na majambazi wa mataifa yao kutekeleza ujambazi mkubwa.


MK254
 

Hii ni true story. Iliwahi kuwa debated Sana huko nyumo
 
Kuna jambazi moja kutoka huko Kenya lilikuwa linaitwa TAKO MOJA-- hilo lilikuwa hatari.🤔
 
Wewe macho mbaya kuna mtu kule Instagram anatumia jina la "ijuehistoria" ndo wew? Naona amesimulia na ujambazi ubungo mataa
 
Back
Top Bottom