Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
- Thread starter
- #41
Mkuu umemaliza kila kitu.. umeeleza vema kabisa.. efficiency ya private sekta ipo mbali sana.Mkuu wanaweza bado kulipwa na serikali au kupewa ruzuku ili cost zishuke. Uzuri ni tender na unaweka conditions zisipofikiwa mkataba unavunjwa. Trust me ufanisi ni 90% ila hawa wenye job security hawana KPI za kubanwa kila mwaka wa fedha ukiisha ufanisi hauwezi panda.
Nitajie tu ni sekta ipi ambayo serikali imeizidi private sector hapa Tanzania? Hta JPM aliwahi kiri CEOs na MDs wa private companies wana akili na mipango kuliko wa serikalini waliofeli kuleta magawio tokea anaingia madarakani.
Watu wanazungumzia mambo ya fire hydrants kutokuwepo kariakoo, hivo vyote kama sekta binafsi wangekuwa na tenda, lazima wangeshaona hiyo risk.. miaka 60 tuna uhuru bado hatuwezi kuzima moto, si bora tungekuwa tunatawaliwa tu