Majanga mengine T.C.U

Majanga mengine T.C.U

Vjana mciwe na wacwac wamefanya hivyo kwa wale wanaoapply second round ile iwe rahic koz hizo koz zilikua zinaload taratibu xana baada ya kufanya hivo 2nd round sasa wanaapply kiulain. Kwa maana hiyo koz zimeshasaviwa na first round washapata chuo kilichobaki ni kusubiri hiyo tarh 9 ipite hlf selection status itakua yes. Over
 
mi mwenyewe sigusi kitu nsje nkaleta majanga mengine

Kaa nayo mbali coz utachanganyikiwa zaid mkuu erick tuwaachie TCU wafanye yao.. Bt cjui ni kwa nin hiki kitengo kina mambo ya ajabu hivi.. Wangejua ni jins gan inatuathir wasingetumbua namna hii
 
Last edited by a moderator:
Vjana mciwe na wacwac wamefanya hivyo kwa wale wanaoapply second round ile iwe rahic koz hizo koz zilikua zinaload taratibu xana baada ya kufanya hivo 2nd round sasa wanaapply kiulain. Kwa maana hiyo koz zimeshasaviwa na first round washapata chuo kilichobaki ni kusubiri hiyo tarh 9 ipite hlf selection status itakua yes. Over

poa tunasubiri
 
Yea imewatokea watu wote hata mimi mwenyewe so mi nasepa na log out nawaachia TCU wenyewe !:disapointed:
 
kitu kama hcho kishawai tokea kabla tcu waliwabadilishia watu course mtu wa hgl wakampa ba. Of mathematics but badae ilikuja kuwa freshi. So tuendelee kuvuta subira kidogo soon mambo yatakua poa
 
Back
Top Bottom