Majanga mengine T.C.U

Majanga mengine T.C.U

Wakuu mi
nimeshinda kuielewa hii kitu jana juzi na leo asubuhi profile yangu ya
tcu ilikuwa vizuri kabisa lakini ajabu nimejaribu kuingia sa hizi nakuta
majanga kwamba sijaaply chochote sa nikawauliza baadhi ya wenzangu kama
saba hivi wakasema na za kwao hvo hvo sa nkapata utata but nikijaribu
kuclick pale kwenye application ili niselect kozi nyingine hapafunguki
sa sijajua tatizo nini na wakati huo huo jina langu halipo kwa wale
waliokosa chuo during 1st round selection.. Jaribun kuangalia za kwenu
wadau

KAKA ungechelewa kutoa huu uzi bas pengine ingekua mimi,nashindwa kuwaelewa awa jamaa kabisa
 
WAKUU HUU UTATA TUUMALIZE HIVIIII...! WALE AMBAO MME-APPLY SECOND ROUND VP NA NYIE MMEANDIKIWA HVYO HVYO HEBU FUNGUKENII BASI! ILI TU CONCLUDE KWAMBA NI TATIZO LA WALE AMBAO HATUKU-APPLY 2nd ROUND, AU HTA NYINYI....!!?
 
daa!!mwenyewe hivyo hivyo....bas hakunaga shida!!
 
tupien hiyo link mimi sijaona au niangalizien Mandela joseph na Adiud chriford
 
WAKUU HUU UTATA TUUMALIZE HIVIIII...! WALE AMBAO MME-APPLY SECOND ROUND VP NA NYIE MMEANDIKIWA HVYO HVYO HEBU FUNGUKENII BASI! ILI TU CONCLUDE KWAMBA NI TATIZO LA WALE AMBAO HATUKU-APPLY 2nd ROUND, AU HTA NYINYI....!!?

Kwa mujibu wa taarifa ya mwenzangu aliyetemwa 1st round,profile yake iko poa tu but wengine kama 7 hivi ambao hawakutemwa 1st round ni majanga tu kwenye profile zao.Mi mwenyewe kidogo nizimie.
 
daah hapo utataa upo!
 
me nadhani hiyo inatokea kwa wale ambao walikuwa na YES pia NO kwenye kozi walizoomba. Mimi nilikuwa na yes 4 alaf No moja lakini meseji inaniambia nichagua "progaram" nyingine na sio "prgammes" pia inasema wameshacheki for illegability .
 
maelezo yako cjayaelewa ktkana na maada inayoongelewa hapaaa! mkuu profile yako now inaonyeshajeee? Au na ww ndo wale mlio-apply 2nd round!
 
Wakuu mimi mbna yangu inafunguka ila ipo course moja 2 ambayo nmekidh vigezo mana niliomba cozi nne kat ya hzo nlikuwa na yec moja na no tatu na jina langu kwa wale wakurudia mimi sikuwepo je inakuaje hapo msaada!
 
umepata,hyo hyo moja.
 
maelezo yako cjayaelewa ktkana na maada inayoongelewa hapaaa! mkuu profile yako now inaonyeshajeee? Au na ww ndo wale mlio-apply 2nd round!
hata mimi yangu inakuja msg kama yako mkuu mana mara ya kwanza nilikuwa na yes moja na no 3! Lakn saiz nkfungua ipo coz moja 2 na ninaletewa msg kama yako cjui inakuaje apo na ckuwepo kwnye majina ya waliokosa!
 
wakuu walioaply 2nd round funguken basi make sisi ambao hatukutemwa tunaona nyota tu profile zetu ka vipi jaribuni kuwa email labda watatusaidia
 
Back
Top Bottom