dedline tayari usihofu kama jana ili kuwa powa basi usijali
hawapokei simu kaka
mi mwenyewe sigusi kitu nsje nkaleta majanga mengine
Vyuo mtapata, nchi ina wajinga wengi
system failure nahc!!
Vjana mciwe na wacwac wamefanya hivyo kwa wale wanaoapply second round ile iwe rahic koz hizo koz zilikua zinaload taratibu xana baada ya kufanya hivo 2nd round sasa wanaapply kiulain. Kwa maana hiyo koz zimeshasaviwa na first round washapata chuo kilichobaki ni kusubiri hiyo tarh 9 ipite hlf selection status itakua yes. Over
kama upo dar nenda kwenye ofisi zao fasta..
Yea imewatokea watu wote hata mimi mwenyewe so mi nasepa na log out nawaachia TCU wenyewe !:disapointed:
vp darius umecheki yako
Vijana mmeishatoka depo JKT au siku hizi ni kidigitali mnakwendanazo simu na laptops?