Majanga mengine T.C.U

tcu wanataka ku2onyeshea wapi 2lipopangiwa chuo ndio mahana profile ze2 znazngua!
 
punguzeni preshw web ya tcu ndivyo ilivyo,very poor,nq safari hii walivyoweka elf 50 nikajua wata improve kumbe ndio yaleyale!

Kwani uliambiwa 50.000 ndo ya kuendeshea mtandao..kwanza haitoshi. Tanzania tu hatujawa na sources za kuamika kupata mawasiliano.unaweza kuta shida siyo ya tcu bali ni providers.hata hivyo wanajitahidi sana.technolojia ina challenges zake.
 
hilo ni jambo la kawaida hata msihofu ndugu zangu kilichotokea ni kwamba sasa ndo panel zinaanza kukaa kwa ajili ya kufanya selection so course zenu mlizochagua hamuwezi kuziona kwa sasa ila mara tu process ya selection ikikamilika utaona course uiyochaguliwa na chuo husika..mind u ni hali ya kawaida na usifanye chochote katika profile yako kwa sasa ila unashauriwa uwe unaitembelea mara kwa mara kama kutakuwa na mabadiliko yoyote..
 
Sasa vijana mnahofu gani wakati selection tayari zimekwisha fanyika tayari msubiri tu tcu iwaonyeshe mmepangwa wapi?
 

duuh mkuu n kweli?
 
naona sa hz zimekaa fresh na kwenye selection status imebadilika kuwa processed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…