technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Miradi ambaye inaacha makovu kwenye mioyo ya wengi haiwezi kuwa na mafanikio chanyaBomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri. Nchi ipo hoi kiuchumi na kisiasa kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama na ni majonzi kwa taifa.
Na hayo ni mamiradi tu ya vyombo vyombo; hujagusia mambo mhimu kabisa ambayo ameshindwa na matokeo yake hayataonekana leo.Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri. Nchi ipo hoi kiuchumi na kisiasa kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama na ni majonzi kwa taifa.
Utajiju... Meli za ziwa Victoria tayari zimeshakamilika zimebaki kufanyiwa testing tu na Wakorea! Miradi mingine yote inaendelea kama kawa! Tunajua unaombea sana mambo yasiendelee sijui kwa faida ya nani? Wakati miradi yote wewe na familia yako mtafaidi pia!!Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri. Nchi ipo hoi kiuchumi na kisiasa kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama na ni majonzi kwa taifa.
Hili pumbavu ndio liliombaga corona ije Tanzania ,kichwani badala ya ubongo Limejaza maviUtajiju... Meli za ziwa Victoria tayari zimeshakamilika zimebaki kufanyiwa trsting tu na Wakorea! Miradi mingine yote inaendelea kama kawa! Tunajua unaombea sana mambo yasiendelee sijui kwa faida ya nani? Wakati miradi yote wewe na familia yako mtafaidi pia!!
Hakika !Miradi ambaye inaacha makovu kwenye mioyo ya wengi haiwezi kuwa na mafanikio chanya
Hoja hujibiwa kwa hojaUkiachana na gesi na misitu Nchi hii ina hazina kubwa ya watu wapumbavu, mwalimu wao wa zamu ni mleta mada.
Hongera kwa dua zako, kwa hiyo zimekubaliwa, eti!Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri. Nchi ipo hoi kiuchumi na kisiasa kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama na ni majonzi kwa taifa.
"Amefanikiwa kwenye 'propaganda'"?Huyu mtu amefanikiwa tu kwenye propaganda, mengine yote kafeli, tatizo ni kutaka kuongoza nchi kama jela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili pumbavu ndio liliombaga corona ije Tanzania ,kichwani badala ya ubongo Limejaza mavi
Sent using Jamii Forums mobile app