Miradi ya Magufuli JF imekumbwa na mdudu gani yarab toba, ile Great Thinker imebaki kama slogan tu sasa...Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.
Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma
Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama
Ni majonzi kwa taifa.
Kwa kuwa amekwama ni njia nyeupe kwenu kuingia Ikulu. Ila tahadhari msiende kukausha Hazina ya Taifa kama mnavyotafuna ruzuku hata kujenga ofisi mkashindwa.Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.
Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma
Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama
Ni majonzi kwa taifa.
Nilijua unatafuta gia ya kumtaja bwana wako wa zamani, we punga hapa wanaongelea miradi sio X wako.Rudia kusoma kichwa cha habari.Leo Daud Bashite Naibu Rais kabariki watu waendelee kubanana vijiweni waambukizane kwa kusema kuwa jiji la Dsm lipo salama wakati maambukizi na vifo ni vingi
EdonacantrHii nchi ni tajiri,ina kila kitu tembeeni kifua mberee
Kweli! Hata kama watu hawana sindiria!Hii nchi ni tajiri,ina kila kitu tembeeni kifua mberee
Huoni TBC ilivyogeuka chombo cha propaganda na kuhadaa wananchi?"Amefanikiwa kwenye 'propaganda'"?
Inawezekana una maana nyingine ya 'propaganda'.
Upumbavu ni mzigo,naona unawelemea wapuuzi wengi humu.Ukiachana na gesi na misitu Nchi hii ina hazina kubwa ya watu wapumbavu, mwalimu wao wa zamu ni mleta mada.
Mkuu mwambie alete source ya habari yake.Utajiju... Meli za ziwa Victoria tayari zimeshakamilika zimebaki kufanyiwa testing tu na Wakorea! Miradi mingine yote inaendelea kama kawa! Tunajua unaombea sana mambo yasiendelee sijui kwa faida ya nani? Wakati miradi yote wewe na familia yako mtafaidi pia!!
Not true.Mheshimiwa kikwete alikua anapata pesa nyingi za wafadhili kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo tofauti na Mheshimiwa magufuli ambaye anatumia fedha zinazotokana na makusanyo ya ndani kukamilisha miradi mbalimbali mm naona atakapomaliza muhula wake wa pili miradi hii mikubwa aliyoianzisha itakuaimekamilika hvo tutakua ktk position nzur ya kujudge utendakazi wake,though kwenye demokrasia na utawala bora kuna changamoto kdogo.
Kabisa mkuu.Ukiachana na gesi na misitu Nchi hii ina hazina kubwa ya watu wapumbavu, mwalimu wao wa zamu ni mleta mada.
Huyu mtu amefanikiwa tu kwenye propaganda, mengine yote kafeli, tatizo ni kutaka kuongoza nchi kama jela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni bomba la mafuta tu ndio limekwama,kwa sababu sio letu,lakini tumemaliza kila kituBomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.
Haya yote unaandika kisiasa ama umedhamilia? Hujataja ndege? Pale Ubungo na Tazara? Hosipitali je? Elimu bure je?Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.
Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma
Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama
Ni majonzi kwa taifa.
Hahaha..unapoteza muda kujibu misukule mkuu, October sio mbali watavuna walichokipanda, Taifa liko vitani, tunapambana na janga, ni kipindi wananchi wote tunapaswa kuwa pamoja na Mkuu wetu wa nchi, hao washenzi wamesaliti Taifa wameungana na maadui, wanakusanya na kueneza propaganda za kishenzi dhidi ya nchi yetu, hakuna mwenye akili timamu wa kuunga mkono ushenzi huo, ubunge wao utakuwa tweeter, IG na humu walopanunua kueneza propaganda mfu.Utajiju... Meli za ziwa Victoria tayari zimeshakamilika zimebaki kufanyiwa testing tu na Wakorea! Miradi mingine yote inaendelea kama kawa! Tunajua unaombea sana mambo yasiendelee sijui kwa faida ya nani? Wakati miradi yote wewe na familia yako mtafaidi pia!!
Kwani hapa Tanzania kuna utawala wa kiimla? Hakuna uchguzi ili kupata viongozi?Tuongee ukweli... Magufuli is doing good on infrastructure, ubaya wake uko kwenye demokrasia