Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.

Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma

Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama

Ni majonzi kwa taifa.
kajificha rubondo huko na migebuka
 
Utajiju... Meli za ziwa Victoria tayari zimeshakamilika zimebaki kufanyiwa testing tu na Wakorea! Miradi mingine yote inaendelea kama kawa! Tunajua unaombea sana mambo yasiendelee sijui kwa faida ya nani? Wakati miradi yote wewe na familia yako mtafaidi pia!!
Meli zimefufuliwa tulizoachiwa mkoloni. Hivi kuna awamu ta Tz ambayo haikuwai kufufua meli ya victoria. Tena magu ndyo kachukua muda mrefu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.

Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma

Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama

Ni majonzi kwa taifa.
Na mradi wa kuua upinzani je? Ahahahahah!
 
Anasesma eti mradi wa Daraja la Busisi umekwama. Labda umekwama kwenye keyboard yake ya kuandikia. Aje site hapa Mwanza aone ndio useme. MV. Victoria kila kitu tayari bado uzinduzi tu. Sitakia kuzungumzia meli mpya. Aje mwenyewe ajionee. Wanafikiri Chadema ilivyokwama kujenga Ofisi na Serikali itakwama. Abadan!!
 
Hela zote za bongo zimeenda Rwanda! Tanzania sasa hivi ndiyo inailisha Rwanda.. Nimeona niwajulishe ndugu zangu... Tumekwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela zote za bongo zimeenda Rwanda! Tanzania sasa hivi ndiyo inailisha Rwanda.. Nimeona niwajulishe ndugu zangu... Tumekwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua kidogo hapa hizo fedha zimeendaje huko.

Tz inailisha Rwanda kwa kuwauzia bidhaa za chakula au msaada? (Fafanua hili)
 
Hali ya kisiasa DRC siyo rafiki tena kwa kagame, hivi haujiulizi hizo pesa zote zinazokuaanywa kwa Kodi nk nk zinakwenda wapi? Hela mtaani hakuna! Baba analisha nyumba yake na nyumba ya jirani! Naomba niishie hapa...
Fafanua kidogo hapa hizo fedha zimeendaje huko.

Tz inailisha Rwanda kwa kuwauzia bidhaa za chakula au msaada? (Fafanua hili)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtu amefanikiwa tu kwenye propaganda, mengine yote kafeli, tatizo ni kutaka kuongoza nchi kama jela.

Sent using Jamii Forums mobile app
Miradi ya Magufuli au yetu walipa Kodi? Nina hasira na chadema Mungu anihurumie kwa hiyo ikikwama munaona raha?

Uchaguzi mkuubuj uao akiifanikiwe kupita hata mbunge mmoja tu was chadema nahama nchi sababu Hakuna Jena hata moja chadema uufurahis au kuitakia mema nchi hii

Shida yote hi kasababisha Lowasa aliyeeabeba 2015 kwa pesa zake za wizi chadema lakini chadema mwisho wenu mwaka huu kila mwana CCM au kila kiongozi wa serikali ya CCM popote alipo ahakikishe pepo chadema linaondoka na hakuna hata mmoja atakayepita iwe hata kwa kutumia mbinu zozote

Kiongozi wa CCM na serikali ya CCM kiongozi yeyote wa chadema alishinda eneo lako au zitto kabwe akipita eneo lako akashinda na ukamtangaza jiandae kufungishwa virago.Tuko vitani chadema hastanii na sisi tusitanie ukicheka nangedere utakuta kala shamba lote
Kila

Hii iwe Ni agenda ya kila mwana CCM na kila kiongozi wa serikali
..vyama vingine ruksa kasoro zitto kabwe tu lakini vingine ruksa wakihombea wakishinda wapeni

Wamepania kuponda serikali na mafanikio yake na sisi tupanie kuwaponda let us be very serious more than them
 
Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.

Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma

Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama

Ni majonzi kwa taifa.
Kwenye sayansi ya siasa haijalishi kuwa na propaganda kiasi gani kikubwa ni kuhakikisha kuwa uchumu unakuwa. Uchumu ukiyumba tu na watu hasa vijana waka kata tamaa kupiga watu ngwara mtaani ni rahisi. Bado imani ipo kubwa tu ya kukusanya 1.9 tr kwa mwezi. Tusiogope Barbara zote zitajengwa hadi za ghorofa. Tusijali huu ni upepo tu. Lakini ili tufanikiwe turudishe kitengo cha Economic planning. Tuwatafute wale classical economists wa nchi yetu wapo uchumi hauhitaji watu ambao siyo wazoevu. Wako wapi kina Benson Ndulu, Likwilile na wengine. Wako wapi? Tell us the magics?
 
hata wewe shangaa.
wanakurupuka kuanzisha mada wakati hata hawajakusanya data mwisho wa siku wanaonekana ni vitumbua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kinachonifurahisha Kwa mleta nyuzi, ni pale anaposahau kwamba, ndiyo yuleyule ambaye huwa anaomba afahamu ni kitu gani ambacho Magufuli kaanzisha mradi wa kwake yeye kama yeye ukiondoa Miradi iliyoachwa na Kikwete,

Badala ya kujibiwa maswali yake, leo yeye mwenyewe kajijibu, na hata hivyo, huo nao ni sehemu ya Upinzani, mleta nyuzi anatimiza wajibu wake!

Mungu Ibariki Tanzania
 
Miradi ya Magufuli au yetu walipa Kodi? Nina hasira na chadema Mungu anihurumie kwa hiyo ikikwama munaona raha?

Uchaguzi mkuubuj uao akiifanikiwe kupita hata mbunge mmoja tu was chadema nahama nchi sababu Hakuna Jena hata moja chadema uufurahis au kuitakia mema nchi hii

Shida yote hi kasababisha Lowasa aliyeeabeba 2015 kwa pesa zake za wizi chadema lakini chadema mwisho wenu mwaka huu kila mwana CCM au kila kiongozi wa serikali ya CCM popote alipo ahakikishe pepo chadema linaondoka na hakuna hata mmoja atakayepita iwe hata kwa kutumia mbinu zozote

Kiongozi wa CCM na serikali ya CCM kiongozi yeyote wa chadema alishinda eneo lako au zitto kabwe akipita eneo lako akashinda na ukamtangaza jiandae kufungishwa virago.Tuko vitani chadema hastanii na sisi tusitanie ukicheka nangedere utakuta kala shamba lote
Kila

Hii iwe Ni agenda ya kila mwana CCM na kila kiongozi wa serikali
..vyama vingine ruksa kasoro zitto kabwe tu lakini vingine ruksa wakihombea wakishinda wapeni

Wamepania kuponda serikali na mafanikio yake na sisi tupanie kuwaponda let us be very serious more than them
Wewe mjinga kweli Lowassa kala ni cha kwenu kama ni mwizi si mgefunga jela. Acha kuongea vitu usivyovijua "you have mismanaged the economy, let every person carry his own cross. Don't come here seeking for sympathy. Kuujenga uchumi imara ni sayansi haitaji propaganda.
 
I don't need sympathy from anybody pesa za wizi za lowasa na wezi wenzie ndizo zimejaza mibunge na midiwani ya chadema 2015 alipokuwa akihonga kuanzia viongozi was dini,boda boda,nk yeye ndie kaleta shida hi yote kuanzia kipindi Cha kikwete yeye ndie alikuwa mfadhili migenge ya kutukana serikali ya kikwete na kumdhalilisha lakini Cha mtema kuni.amekiona Cha usaliti wake

2020 Lowasa na magenge yao ya wezi hawapo na pesa zao hazipo chadema safari hi mtatukoma CCM wengi wenu anzeni kuandaa dawa za pressure Kama Kuna mwaka CCM itakosa hiruma kwa upinzani Ni mwaka huu
 
Ila si kafanikiwa kumuua ben saanane na Bashite kaongezeka hips.
Hayo ni mafanikio kwa ccm.
Ccm oyeee
 
Back
Top Bottom