Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

Maisha haya kweli hadi leo hii meli imekuwa rebuilt inatembea kwa 16 knots at full speed?

Kweli meli ni kitu cha kiduanzi, i can't imagine seating on a 14km/h vessel. Yani hata sanlg ukiifunga maboya itaipita speed hio meli. 🤣🤣🤣🤣
 
Utajiju... Meli za ziwa Victoria tayari zimeshakamilika zimebaki kufanyiwa testing tu na Wakorea! Miradi mingine yote inaendelea kama kawa! Tunajua unaombea sana mambo yasiendelee sijui kwa faida ya nani? Wakati miradi yote wewe na familia yako mtafaidi pia!!
Nayo isijefika ya kufanyiwa testing ikazama ziwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.

Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma

Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama

Ni majonzi kwa taifa.
Nchi inategemea misaada kwa zaidi ya asilimia 40 .... halafu unakuja na miradi mingi hivyo kwa kutumia pesa za ndani na mikopo. Inaelekea Yohana hakuwahi kufanya biashara hata zile za vitumbua, mandazi na karanga zilizokuwa zinafanywa na walimu enzi zile!!

The truth is Tanzania haina pesa wala uwezo wa kusupport miradi mingi mikubwa kama hiyo kwa wakati moja!!
 
Miradi ya Magufuli au yetu walipa Kodi? Nina hasira na chadema Mungu anihurumie kwa hiyo ikikwama munaona raha?

Uchaguzi mkuubuj uao akiifanikiwe kupita hata mbunge mmoja tu was chadema nahama nchi sababu Hakuna Jena hata moja chadema uufurahis au kuitakia mema nchi hii

Shida yote hi kasababisha Lowasa aliyeeabeba 2015 kwa pesa zake za wizi chadema lakini chadema mwisho wenu mwaka huu kila mwana CCM au kila kiongozi wa serikali ya CCM popote alipo ahakikishe pepo chadema linaondoka na hakuna hata mmoja atakayepita iwe hata kwa kutumia mbinu zozote

Kiongozi wa CCM na serikali ya CCM kiongozi yeyote wa chadema alishinda eneo lako au zitto kabwe akipita eneo lako akashinda na ukamtangaza jiandae kufungishwa virago.Tuko vitani chadema hastanii na sisi tusitanie ukicheka nangedere utakuta kala shamba lote
Kila

Hii iwe Ni agenda ya kila mwana CCM na kila kiongozi wa serikali
..vyama vingine ruksa kasoro zitto kabwe tu lakini vingine ruksa wakihombea wakishinda wapeni

Wamepania kuponda serikali na mafanikio yake na sisi tupanie kuwaponda let us be very serious more than them
Chadema na Act ya Zitto ni vyama vya upinzani lazima waikosoe serikali kwa kuleta mawazo mbadala usitegemee wataisifia serikali, ndio maana wanaitwa wapinzani.

Chadema na Zitto hawastahili kufanyiwa haya unayoshauri,hawana hatia wanatekeleza tu majukumu yao kama vyama vya upinzani.
 
Meli ya Butiama majaribioni



​

Propaganda zimezidi awamu hii ......... yaani kila shirika nina TV station yake ..............!!? Kwani TBC hawawezi kutuelezea hayo mafanikio mpaka kila shirika lijitangaze?? Mara meli TV, mara Reli TV ..... Kazi kweli kweli!!
 
Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.

Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma

Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama

Ni majonzi kwa taifa.
Acha uongo wewe nani kakwambia mradi wa SGR umekwama,mradi unaendelea kama kawaida kwa sisi tulioko huku TZ labda kama wewe upo ughaibuni,meli za zinaendelea kukarabatiwa zile zama zamani MV Victoria na Mv Butiama zimeshamalizwa ukarabati wake.Kuhusu meli mpya Mv Mwanza injini zake mbili zimeshafika mwanza na kwa mkataba ulivyosainiwa 2021 mwanzoni ndio wanakamilisha.Bwawa la Umeme ujenzi unaendelea kama kawaida.Ujenzi wa barabara unaendelea kama kawaida huko katavi unaposema kuja Tabora sema mvua zilizonyesha kuanzia mwishoni wa mwaka jana ndio mpaka mwaka huu ndio zilileta shida,kwa upande wa Kigoma kuanzia Kakonko,kasulu mpaka Manyovu ujenzi unaanza soon wakandarasi wapo site wanafanya logistic ya kukusanya vifaa.Tanzania inasonga mbele kwa sasa under JPM pamoja ma mapungufu ya hapa na pale kama binadamu
 
Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.

Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma

Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama

Ni majonzi kwa taifa.
ukikua utaacha
 
Miradi yote ya Nchi huwa ni ya Serikali sio Mtu binafsi,hivyo ikikwama umma ndio una hasara sio Magufuli.
 
Back
Top Bottom