Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Daraja sarendar bridge Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.

Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma

Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama

Ni majonzi kwa taifa.
Anawatumana wanomsaidia anawaita mabeberu
 
Hiyo biashara bado inalipa sana kwa sababu ya matumizi kuongezeka. Ni sawa na biashara ya magari kila mtu anataka awe na gari lake. Nyumba kila moja anataka awe na nyumba yake nk. Kuoa kila mtu anataka awe na mke/mume wake. The demand will always be there but the degree might change from time to time.
 
Back
Top Bottom