Ukiachana na gesi na misitu Nchi hii ina hazina kubwa ya watu wapumbavu, mwalimu wao wa zamu ni mleta mada.
Ukiachana na gesi na misitu Nchi hii ina hazina kubwa ya watu wapumbavu, mwalimu wao wa zamu ni mleta mada.
Mbezi na Kimara, sitausahau unyama huoMiradi ambaye inaacha makovu kwenye mioyo ya wengi haiwezi kuwa na mafanikio chanya
Kaikuta Sukari 1kg buku jero Leo buku 4,Na hayo ni mamiradi tu ya vyombo vyombo; hujagusia mambo mhimu kabisa ambayo ameshindwa na matokeo yake hayataonekana leo.
Elimu yetu iko wapi? Kilimo chetu kiko wapi. Yote haya tunaenda na yale aliyoyaacha Kikwete, ila kwa vile hayaongezewi chochote, athari zake hazionekani kwa sasa.
Sasa hivi imebaki CCM (Magufuli/Ndungai) kuwawinda CHADEMA kila siku, na kwa hali hiyo hiyo maelewano kati ya jamii nzima yanatoweka. Haya hatuyajadili, kana kwamba hayaongezeki.
Sasa hata maelewano yetu na wenzetu huko nje yamekuwa ya shida.
Hakuna namna, atakuja kugeuka na kujikuta hana pa kukimbilia. Wachina wenyewe alishawavuruga, sidhani kama watamwamini huyu.
Ulicho andika ina onesha ulikotoka na ndiyo maana hoja zako zote ni mfilisi na zimetawalia na hisia za kibaguzi baguzi. Kumbuka ubaguzi wa aina yeyote ile: rangi, kabila, kanda, ndugu nk haujawahi kumbakiza mtu salama.I don't need sympathy from anybody pesa za wizi za lowasa na wezi wenzie ndizo zimejaza mibunge na midiwani ya chadema 2015 alipokuwa akihonga kuanzia viongozi was dini,boda boda,nk yeye ndie kaleta shida hi yote kuanzia kipindi Cha kikwete yeye ndie alikuwa mfadhili migenge ya kutukana serikali ya kikwete na kumdhalilisha lakini Cha mtema kuni.amekiona Cha usaliti wake
2020 Lowasa na magenge yao ya wezi hawapo na pesa zao hazipo chadema safari hi mtatukoma CCM wengi wenu anzeni kuandaa dawa za pressure Kama Kuna mwaka CCM itakosa hiruma kwa upinzani Ni mwaka huu
Hii meli imenunuliwa na Nyerere, zingine ni Victoria na mv. Bukoba.Meli ya Butiama majaribioni
Hana mipango Jiwe wenu. Atafeli sanaJamani mimi binafsi ninaposoma baadhi ya mada kwenye hili janvi nashindwa kuelewa kwamba wanaochangia ni Watanzania kweli au majirani zetu hivi kweli mtu mwenye akili timamu na macho yanayoonahawezi kupambanua awamu ya nne ya mafisadi na awamu hii. Ukiacha msururu wa malori ya watoto wao nchi haikuwa na direction yoyote ya maendeleo makubwa. Hata kama miradi ya maendeleo imekwama sio tatizo mradi imeshaanza itamalizwa na atakayekuja Roma haikujengwa kwa siku moja. Ninachoomba Rais aanzishe SGR itakayounganisha nchi nzima kutoka Mbababay hadi Mtwara kupitia Kilwa hadi Dar na nyingine Dar , Tanga Moshi Arusha, Musoma mpaka Kagera. Uchambuzi ufanyike Rais ajaye 2030 ataanza ujenzi. Hatuwezi kushi bila ya dira ya maendeleo. Zile fedha tulizotumia kwenye bunge la katiba na Marehemu spika akasema zile zilizobaki hatazirudisha atazitafutia mipango mengine na zile fedha tulizogawana na kundi la Sulivan zingetosha kujenga kituo cha Nyuklia hapa nchini
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]Hii nchi ni tajiri,ina kila kitu tembeeni kifua mberee
Na utakuwa umesahau na mradi wa stand ya mabasi inayojengwa Nyamuhongolo mkoani Mwanza imekwama baada ya mkandaeasi kutopewa pesa ya kuendeshea mradi sasa amepunguza asilimia 94% ya vibarua na mafundi pamoja na wafanyakazi wengine kama Technician na operetors kwa hiyo hali ni mbaya jamani mjaribu kutembelea pale Nyamuhongolo hamna watu kabisa ni hayo tu mkuu.Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.
Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma
Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama
Ni majonzi kwa taifa.
Hii meli imenunuliwa na Nyerere, zingine ni Victoria na mv. Bukoba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana mipango Jiwe wenu. Atafeli sana
Kiranja mkuu wao ni weweUkiachana na gesi na misitu Nchi hii ina hazina kubwa ya watu wapumbavu, mwalimu wao wa zamu ni mleta mada.
Kuwa na aibu bro unaaibika vibaya mnoBomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.
Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma
Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama
Ni majonzi kwa taifa.
Kuna porojo na propaganda inatrend eti sgr iko 77% completion, thubutu!! mtaalamu alituibia siri anadai itakamilika baada ya miaka 15Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.
Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma
Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama
Ni majonzi kwa taifa.
Ww kweli mnyoo...Magufuli ataongoza miaka 12 kwani ameachia watu wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani waambukizane corona wafe kwa wingi ili apate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu mpaka 2022 kisha uchaguzi ukifanyika akae miaka mitano ni mbinu ambayo hata kagame huitumia
Wapumbavu wako ccm miaka 60 alafu nchi haina sukari barakoa, sanitizer wala test kits, alafu mkuu wao ananataka wananchi wanywe kikombe cha madagascarUkiachana na gesi na misitu Nchi hii ina hazina kubwa ya watu wapumbavu, mwalimu wao wa zamu ni mleta mada.
Kwa nini Watanzania walikuwa wanaishangaa?
Pia kuna mv. Serengeti na mv. ClariasKwa nini Watanzania walikuwa wanaishangaa?
Uongozi ni akili sio nguvu.Huyu mtu amefanikiwa tu kwenye propaganda, mengine yote kafeli, tatizo ni kutaka kuongoza nchi kama jela.
Sent using Jamii Forums mobile app