wewe nae wa wapi?matokeo gani tena unasubiri yatoke leo?
ha ha ha, Dr karamagi noma aisee.kuna wengine wanaitwa Dr nyoni na prof Ossoro,wao mitiani yao hata udesekeje,ukipata 5/20 wewe kidume!
Walimu wanakazi, ujinga wao nini?hahahaa... Prof. Osoro kanitesa sana na taxation theory... Dr. Karamagi hafundishi tena undergraduate.. kuna wajinga wawili Dr. Lokina na Mr. Kirama hawa jamaa wanazingua sana ss hv..
ifm wanashindana na Mzumbe ...nina ndugu yangu alikua prof.SUA alishawahi nithibitishia hilo kua vyuo anavyoviheshim Tz kwanza ni Mzumbe afu cha pili ni IFM..we kumbatia Muccobs yako...ukiwa na cheti cha IFM unaheshimika bro
Poleni sana ndugu ni janga la kila chuo na average hapo ni 40 je ingekua 50 kama sua ingejukaje?
umenikumbusha mbaaaaaliMbona kawaida sana tena hao wachache, Dr. Karamagi wa Economics huwa anatakamata hadi 700 yeye tu peke yake kwenye kozi yake ya Intermediate Microeconomics. Hapo bado Ngowi hajashika nusu ya Darasa kwenye course ya Probability Distributions watu wa Statistics
Walimu wanakazi, ujinga wao nini?