Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

Mtu unasoma Arts & Social Sciences (CASS) halafu unafeli?
What a shame?!!
 
40% watu wanadisco najiuliza ingekuwa 50%, nahis supp wangekuwepo 12000, disco 5000
 
Nadhani hii ni kawaida ya vijana wetu siku hizi, all the time wapo na ear phone wanasikiliza music hata class na wakitoka wanaenda kubanduana na pia ulevi. But pia bora wabaki wachache ambao hawatajenga majengo yakadondoka kwani kuwapassisha kwa siasa nako ni kutengeneza mgogoro baadae. waende wakafanye mengine, kufika chuo nako ni kufaulu regardless umemaliza mapema or kwa wakati.

UDSM uwe mfano na wengine wafuatie
 
LAZIMA UKUBALI MKUU WASTANI40% UNADISCO? JE INGEKUWA 50% KAMA MUCCoBS &SUA INGEKUAJE? YAANI UDSM UKIWA NA COURSEWORK YA 25 TAYARI HUNA SUPP LOL MNAPENDELEWA WASTANI40%

"Nasikia" kule CASS (UDSM) kupasi coursework haitoshi lazima pia upasi ESE. Hivyo 25 ulitaja hapo juu haikupi guarantee ya kupasi mtihani, Na ukikosa 16 za course work kwa walimu wengi ndio lazima urudie somo. Tafakari!!
 
Paper zinatungwa ngumu sana kwa iyo unatakiwa usome intensively,ni kuzidiwa kete lkn sio uzembe mana hapa sio sekondari:help::help:
 
hahaha wanafunzi 500 mnashangaa??ifm kila mwaka first yr wanadisko zaid ya robo tatu...yan unakuta coz moja wako zaid ya elfu moja afu wakiingia 2nd yr wanabaki 400's..mi sion cha ajabu hapo
 
Mjomba Chan'gaa mbona nilishaacha?
Mtu utasomaje Arts halafu una-disco Mjomba?

Mjomba Elimu ni Elimu tu usipojipanga lazima ukamatwe. Na sio watu wa kwanza kudisco hawa ni kila mwaka watu wanadisco sema kwa kuwa taarifa watu mlikuwa hamzipati ndio maana imeonekana ni jambo la ajabu sana.
 
unasema SUA wastan wa 50,katika rank ya kimataifa,kimekuwa cha ngap? Hata kwenye mia moja bora hakipo,fikiri kabla hujachangia,.
 
unge disco kwanza wewe. kama hausomi unategemea nin. ukipanda bangi utavuna bangi na sio mchicha
 
unasema SUA wastan wa 50,katika rank ya kimataifa,kimekuwa cha ngap? Hata kwenye mia moja bora hakipo,fikiri kabla hujachangia,.

Hujielewi wewee udsm shule laini sana wastani40% , huwez kulinganisha ugumu kwa SUA & MUCCoBS
 
hahaha wanafunzi 500 mnashangaa??ifm kila mwaka first yr wanadisko zaid ya robo tatu...yan unakuta coz moja wako zaid ya elfu moja afu wakiingia 2nd yr wanabaki 400's..mi sion cha ajabu hapo

kumbe ifm watu wanadisco ? wastani 40% basi ingekuwa 50% kama MUCCoBS & SUA NAHISI WANGEDISCO 900 ,shule ngumu ni sua & muccobs(50%) wengine hamna kitu
 
Mjomba Elimu ni Elimu tu usipojipanga lazima ukamatwe. Na sio watu wa kwanza kudisco hawa ni kila mwaka watu wanadisco sema kwa kuwa taarifa watu mlikuwa hamzipati ndio maana imeonekana ni jambo la ajabu sana.

Ni kweli Mjomba, ila hawa watoto inabidi wapunguze Ubishololo wakaze msuli...
 
Back
Top Bottom