Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

Nashauri kuwa chuo kikuu chochote si sekondari, hivyo tunapoenda vyuoni tusijione sisi ni wajuaji kuliko wengine lazima kujitahidi kuwa na heshimna kwa walimu na wanafunzi wenzetu, kusoma kwa bidii, kuwahi madarasani, kujishughulisha na mambo ya kijamii, kujisomea vitabu na si madesa pekee nk. Pili tuache kudhani kuwa kudesa ndiyo kufaulu au niko UDSM au mtoto wa mjini na mambo mengine kama hayo ya kishamba.

Pili pale mwalimu anazingua mripoti haraka sana kwa head, principal/dean, DVCs au VC au zaidi ya hapo ili kupata haki yako ya msingi. Leo nimepita pale UDSM nikakuta jamaa analia kumuuliza kunanini akasema anatafakari namna atakavyojitetea kwenye seneti maana an kesi ya kujibu baada ya kukutwa anaibia kwenye mtihani. nafasi za kujitetea zipo hivyo tuzitumie vyema. Lazima tujiulize kwanini kati ya wanafunzi 1000 darasani wanafeli 30 tu kwanini isiwe wote 1000 au nusu!! Ni kweli walimu wengine ni shida uzoefu wa kufundisha hawana, wala hawasomi vya kutosha lakini nani atakusema kama sii wewe mwenyewe?
 
Dah Ni Uzembe Wa Wanafunzi Au Wakufunzi Hawaji2mi!? Ni Balaa Wengne 2jifunze Kutoka Kwa Hao.
 
sasa kama hawasomi wasaidiwe nini
 
Poor udsm,overconfidence inawaponza nyie si ndio chuo cha taifa?? Nin hcho? Haya siye mzumbe tunapiga book tu majigambo kwenye kalam na karatasi
 
..........Wastani wa viji-marks ni 40 kisha mtu anafeli lol!!!. Nilikuwa sifahamu kama watu huwa wana-disco UDSM
Marking za vyuo ni relative. Hiyo pass mark ya 40% chuo A inaweza kuwa ngumu zaidi kuipata kuliko 50% ya chuo B.
 
Marking za vyuo ni relative. Hiyo pass mark ya 40% chuo A inaweza kuwa ngumu zaidi kuipata kuliko 50% ya chuo B.

Nakubaliana na wewe, walio disco UD wakienda tumaini wanatoka na first class.
 
Hapa kuna moja kati ya haya..
1. Waliojiunga wengi ni vilaza...
2. Wakufunzi hawajui kutoa nyanga...
3. Mchanganyiko wa yote hapo juu..
4. Kuna kuchukuliana mademu kati ya wakufunzi na wanafunzi..
5. Background ya wanafunzi kishule si ya kujiunga na UDSM...

acha kuweka assumption ambazo hazipo..hiyo kawaida sana.
 
Zaidi ya wanafunzi 500 wa udsm wamedisco ktk mwaka huu wa masomo huku wengine zaidi ya 9000 wakitakiwa kufanya mitihani ya supplementary.mpashaji wangu wa habari,amenidadavulia idadi ya waliodisco kwa kila college kama ifuatavyo
1}CASS-141
2}COET-137
3}CONAS-98
4}COICT-59
5}UDSL-42
6}UDBS-17
7}UDSE-9

majanga unayajua wewe? Jifunze kufanya analysis kisomi...siyo unaleta figure tu na kuconclude et majanga..
 
pole ziwafikie...kuliwa kichwa sio mwisho wa elimu,dawa ni kukomaa kivingine.
 
Hiki chuo kiacheni tu!yaan cass wanakamata kuwashinda coet!
 
All in all to me the number 500 is alarming - wastage of people's future
My question is -Does this worry anyone? the lecturers, government, education stakeholders?
 
Kwani kudisco kwa wanafunzi wa chuo kikuu UDSM ni uzembe wa kutojielewa na kujiingiza katika starehe na kujisahau kwamba wao ni wanafunzi pia .nawashaur wenzangu kujitambua pindi wanapoingia Chuo kwan wengi huponda raha na kujisahau .
 
Back
Top Bottom