IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
What????500 wamerudi mtaani?? this is very serious!! Nini kimeipata elimu yetu jamani? Sekondari majuzi tulikuwa mass failure huku juu nako...dahZaidi ya wanafunzi 500 wa udsm wamedisco ktk mwaka huu wa masomo huku wengine zaidi ya 9000 wakitakiwa kufanya mitihani ya supplementary.mpashaji wangu wa habari,amenidadavulia idadi ya waliodisco kwa kila college kama ifuatavyo
1}CASS-141
2}COET-137
3}CONAS-98
4}COICT-59
5}UDSL-42
6}UDBS-17
7}UDSE-9