Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

Zaidi ya wanafunzi 500 wa udsm wamedisco ktk mwaka huu wa masomo huku wengine zaidi ya 9000 wakitakiwa kufanya mitihani ya supplementary.mpashaji wangu wa habari,amenidadavulia idadi ya waliodisco kwa kila college kama ifuatavyo
1}CASS-141
2}COET-137
3}CONAS-98
4}COICT-59
5}UDSL-42
6}UDBS-17
7}UDSE-9
What????500 wamerudi mtaani?? this is very serious!! Nini kimeipata elimu yetu jamani? Sekondari majuzi tulikuwa mass failure huku juu nako...dah
 
jamani unajua ukija kabla ya kutoa au kuchangia thread hii kwa masikitiko kana kwamba udsm ndo chuo pekee wamedisco sn au wanaonewa sn kuna mambo mengi ya kujiuliza.

Mi nadhan kikubwa ni asilimia ngp waliodisco kila department/college isije ikawa unaskitika tu kua wamedisco 500 kumbe 500 wenyewe ni kati ya 50,000 sawa na 1% ya candidates wote hapo chuoni kitu ambacho kwa upande wang naweza sema ni ufaulu mkubwa tena wa 99%.

udsm hawajafika hata hata 20,000
 
Namshukuru Mungu mimi nimepita kwa kishindo, hao wa supp wajipange vema ili waweze kufaulu vema. Na wale wa disco wajipange upya kwa ajili ya kuanza masomo tena mahali pengine, kwao UDSM ndo basi tena.
 
Aya sasa yamewakuta mi nilikua nawakataza kushinda muda wote kunywa mwamba na banana pande za mabibo nyi mkajua nawaonea wivu haya sasa kazi mnayo na BUYU moja mia 8 saiz huku banana moja mia 7.JIPANGE!
 
hao wahadhiri nao wanakomoa. Wanafunzi nao wapunguze kujisahau. Siku hizi udsm tuition ni jambo la kawaida sana ikimaanisha kuwa wengi darasani huwa wanatoka kapa.

Alafu kitu kingine nilichojifunza, madogo wengi wanapoingia chuo ndio inakuwa mara yao ya kwanza kutoka mikononi mwa wazazi wao ambao wengi wao huwa wanabanwa (geti kali) hasa watoto wa kike ukizingatia siku hizi shule za day ni nyingi, sasa wakifika chuo ndio time ya kufidia vile vitu ambavyo ulikuwa unavitamani kwa kuwa geti kidogo lilikuwa kali. Ukirudi miaka kama 10 nyuma utagundua wanachuo wengi walikuwa wamesoma shule za boarding ambako kiasi flani utukutu walishauanza mdogo mdogo kwa kutoroka siku moja moja huku wanasongoka, at the time anaingia chuo tayari ufukunyuku ameshaufanya (hii ni kwa mtazamo wa kawaida) though kuna factors nyingi zikiwemo za kimfumo.
 
mkuu,kuna mtu namfahamu ameingia na dv 1.4 ila wamemla kichwa kule coet.utasema huyo nae background yake ilikua mbovu?

div 1 co issue...wengi we2 huwa 2najisahau na kuona 2mefika akat ndo kwnza 2naanza...
 
Sababu mojawapo n kujisahau wanafunz wenyewe!! Msuli wa zimamoto sio mzuri.. sometimez utazimia petroli badala ya maji.. Pole zao
 
Unaelewa tofauti ya kushikwa na kudisco?
Idadi hiyo ni kubwa sana kwa disco, poleni wahanga.
Tatizo sidhani kama ni wakufunzi, maana hawajaanza kazi leo.
Tatizo ni misingi mibovu ya elimu za vijana wetu wa sasa, pamoja na anasa
Wengi wao wakiwa sekondari wanafaulu kwa nguvu ya walimu wao (spoon feeding), wakifika elimu ya vyuo vikuu wanamkuta prof. haandai notsi wala kusahihisha spelling zako. Just hints minofu unajitafutia mwenyewe maktaba na source nyinginezo halali.

Kwa kuwa wamezoea kubebwa wao kazi yao kujirusha tu, matokeo yake ndiyo hayo. Wapo vijana yunawafahamu walitoka A-LEVEL na DIV 1 wameishia kuangukia pua vyuoni. Big up to all Profs, Lecturers e.t.c.
 
mmmh... hiii shuleee ya hapa hasahasa huu mwaka wa kwanza sitakuja kuusahauuu... kwelii sua ni nouma
 
Namshukuru Mungu mimi nimepita kwa kishindo, hao wa supp wajipange vema ili waweze kufaulu vema. Na wale wa disco wajipange upya kwa ajili ya kuanza masomo tena mahali pengine, kwao UDSM ndo basi tena.
acha uongo mkuu, udsm wakiomba tena course nyingne wanapata, na mkopo juu, kuna jamaa nilpgaga nae alikuwa computer science, kaz ilkuwa kuchek porno ucku kucha wakamla kichwa, akaomba geology wakampa.. freesh kabisa, tena almalza kwa upper second.. wanajipanga 2.. wanaenda shule kusoma, mara ya kwanza walienda kuchk mazingira..
 
kama imekua hivyo udsm chonde chonde watu wa sua na average yenu ya 50 keshen mkiomba maana pale nelson mandela freedom square watu walipoteana! lakin kwa msuli niliouona mnaweza mkatoka maana mabingwa wa wa msuli na wakulima pure wako pande hizo! kuna watu hata morogoro mjini hawapafahamu zaid ya kupita siku ya kufunga na kufungua chuo!
 
Kwa kweli suala la TCU kuingilia mchakato wa kukichagulia chuo wanafunzi ndio kinapelekea haya yote. Suala la watu wengi kusupp si la kushangaz ni kawaida sana kila mwaka lakini hili la kudisco moja kwa moja, idadi hiyo ni kubwa sana na hapo UDSM wanataka tu kuionyesha TCU kuwa wanafunzi iliowapelekea wengi hawa meet standars za chuo kile. Huu ni mwanzo na tutegemee zaidi miaka ijayo kama mandate ya selectionz za wanafunzi hazitarejeshwa vyuoni.
 
..........Wastani wa viji-marks ni 40 kisha mtu anafeli lol!!!. Nilikuwa sifahamu kama watu huwa wana-disco UDSM
 
kaka ishu sio wastani ishu ni kuipata iyo 40. kuna cho kina average ya 50 bt paper inakuwaje?
 
we boya kwa paper ya sua unafunguka kweliiii
 
mkuu kuna hii course inaitwa CL106,jamaa walikua wanasema watashika watu idadi ya shato 5 za mabibo na 5 za cumpus,na kweli wametimiza dhamira yao.

Duh, hiyo sasa makusudi, naona wakufunzi wameamua kuwa wa kidigitali
 
Back
Top Bottom