Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya wanafunzi 500 wa udsm wamedisco ktk mwaka huu wa masomo huku wengine zaidi ya 9000 wakitakiwa kufanya mitihani ya supplementary.mpashaji wangu wa habari,amenidadavulia idadi ya waliodisco kwa kila college kama ifuatavyo
1}CASS-141
2}COET-137
3}CONAS-98
4}COICT-59
5}UDSL-42
6}UDBS-17
7}UDSE-9
Si kwamba vilaza tatizo labda n anasa na mambo ya uzinzi pili labda hao malecture wanataka uloda alafu pipoz zinatema magirlz so si jambo lakufurahua n bira kuwashauri
kuna baadhi ya malecturer huwa wanajiskia raha tu kuwakerisha watu na kuwapa sapu
Zaidi ya wanafunzi 500 wa udsm wamedisco ktk mwaka huu wa masomo huku wengine zaidi ya 9000 wakitakiwa kufanya mitihani ya supplementary.mpashaji wangu wa habari,amenidadavulia idadi ya waliodisco kwa kila college kama ifuatavyo
1}CASS-141
2}COET-137
3}CONAS-98
4}COICT-59
5}UDSL-42
6}UDBS-17
7}UDSE-9
Coet mziki mwingine hawajali we TO au nn maana maTO kadhaa wameshaliwa kichwa hapo COET miaka ya nyuma
kumbe ifm watu wanadisco ? wastani 40% basi ingekuwa 50% kama MUCCoBS & SUA NAHISI WANGEDISCO 900 ,shule ngumu ni sua & muccobs(50%) wengine hamna kitu
Zaidi ya wanafunzi 500 wa udsm wamedisco ktk mwaka huu wa masomo huku wengine zaidi ya 9000 wakitakiwa kufanya mitihani ya supplementary.mpashaji wangu wa habari,amenidadavulia idadi ya waliodisco kwa kila college kama ifuatavyo
1}CASS-141
2}COET-137
3}CONAS-98
4}COICT-59
5}UDSL-42
6}UDBS-17
7}UDSE-9
Kila siku narudia kawaeleza Tofautisha Elimu ya chuo na ya Advance..sasa habari za T.O wa advance zinaingiaje hapa!!mbona hao ambao hawakua ma T.O huko Advance hapa hawajakamatwa????tena wengi tu!!kutoka level moja kwenda nyingine ki taaluma kuna mabadiliko mengi hutokea,yani ni mazingira ya elimu yenye utofauti kubwa na changamoto tofauti.
Wewe itakuwa unalako la moyoni na ma TO, mi binafsi namkubali hata aliekuwa TO primary, maana kama wewe ulishidwa level ndogo za huko, huku chuo utaweza vipi!! na utofauti unaousema hapa na Advance ni upi?? Au sababu chuo kuna course work??
Mdogo wangu pole sana naona we ni mgumu kuelewa na nahisi nawewe utashikwa!!mwenzio hiyo level unayokomaa nayo nilishapita kitambo .....Hivi na fahamu zako zote huoni utofauti wa chuo na advance ki uanafunzi????
Ebu kesho mtafute uyo T.O aliyekula sup muulize kwanini alikua T.O alafu chuo anakula sup ama ku disco then atakuambia utofauti.\ zipo nyingi nakusaidia mbili nyingine chemsha kichwa chako
1. Advance wanafunzi wengi wako busy na shule wala hawaijui ela ila ukifika chuo na kupewa bumu akili inafyatuka..muulize T.O bwana L..S..KELO alikua anashinda bar
2. Advance kuna ukaribu na muingiliano mkubwa kati ya mwanafunzi na mwl. pamoja nakuletewa vi notes class,chuo Prof hana muda nawewe akija ana donoa anakuachia limzigo wewe kupekua mi vitabu.
Du aise ni wengi sana hao.
Mr Wise sijui ni shule gani uliyosoma wewe, uliyokuwa unatafuniwa notes na walimu wako! Unaweza kuwa umesoma st. fulani, ndio maana unaona elimu ni tofauti sana, lkn ungekuwa umesoma zile shule za kukomaa mwenyewe, na umetoka kijijini ambako hakuna tuition kama ilivyo hapa chuo kikuu, hata usingeona utofauti!
Kwa taarifa yako sina historia ya kukamatwa, since primary, na hiyo nikukuthibitishia kwamba safari niliyopitia mimi mpaka hapa nilipo hata sioni utofauti.
Kama nikujishughulisha kutafuta pesa, nimeanza tangu secondary, advance nilikuwa najichanganya vizuri tu, na ndio maana sijaona utofauti na hapa UDSM!
Ukiona umefika chuo na unakamatwa sana, ujue huko ulikotoka ulikuwa una krem sana ama unakremishwa, lkn kama ulikuwa unaelewa, haliwezi kukupa shida! Huyo TO uliyemtaja hapo hata kama alikuwa anashinda Bar, sijapata record yake ya sup, kama unauhakika alikuwa anakamatwa kama ilivyokuwa kwako njoo hapa COET tuchek record! maana nina wasiwasi sana na wewe, ndio nyie mnaochomokaga na gentle.