Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

Karibuni STREET UNIVERSITY...huku hakuna hayo mambo ya kudisko...huku ni tambaraaare..kuna kozi nyingi sana kama kuchoma mahindi, kukaanga mihogo, kuuza chenji stendi za daladala, kusafirisha unga(cocaine)..kwa wale wenye ubavu wao kuna kozi ya kubeba zege..kumbuka KOZI ni BURE...Karibuni tulijenge taifa kupitia mlango wa nyuma...
 
1}CASS-141
2}COET-137
3}CONAS-98
4}COICT-59
ndio nini hizi
muhimbili hatuna majanga hayo
 
HAHAHAHAAAAH umenikumbusha Ngowi na mikasa ya Proba , daaah maisha ya chuo yanatiaga wazimu sana
 
We sema hamna kitu wakati wenzio baadhi ya hizo sababu ndo zinawang'oa chuo
Lakini mkuu, wewe mwanafunzi umeenda chuoni kusoma, harafu eti unagombania ki-demu na mwalimu wako, haya si majanga ya kujitakia?
 
Disc 500??? Kwani hawa ma-lecturers wa UD si wamepewa nyongeza ya mshahara hadi 1m, sasa hizi hasira zao zinatokana na nini???
 
Mi form 4 mwenzenu ina maana hao ndo wamefeli yani ndo kama div o ya Huku kwetu.
 

Point number tano is redundant point...inafanana na point number 1...najua utasema nitoe point zangu...


Anyway...point zako zote ni sahihi...Udsm imekua kama beba beba..inabeba tu wanafunzi wowote wanaokuja..alafu wakidsco au wakipata supplimentary wanalia shule ngumu..
 
Unaelewa tofauti ya kushikwa na kudisco?
Idadi hiyo ni kubwa sana kwa disco, poleni wahanga.
Tatizo sidhani kama ni wakufunzi, maana hawajaanza kazi leo.
Tatizo ni misingi mibovu ya elimu za vijana wetu wa sasa, pamoja na anasa

Coet mziki mwingine hawajali we TO au nn maana maTO kadhaa wameshaliwa kichwa hapo COET miaka ya nyuma
 
jamani unajua ukija kabla ya kutoa au kuchangia thread hii kwa masikitiko kana kwamba UDSM ndo chuo pekee wamedisco sn au wanaonewa sn kuna mambo mengi ya kujiuliza.

mi nadhan kikubwa ni asilimia ngp waliodisco kila department/college isije ikawa unaskitika tu kua wamedisco 500 kumbe 500 wenyewe ni kati ya 50,000 sawa na 1% ya candidates wote hapo chuoni kitu ambacho kwa upande wang naweza sema ni ufaulu mkubwa tena wa 99%.
 
mkuu,we unadhani hzo supp 9000 ntakosekana.nimetiwa nyavuni somo moja!

co mbaya mkuu next season kali-sapuee hlo somo then mambo yaendelee!! hyo ndio ARIS
 
Sio matter yakusikitika tu, Watuambie UDSM chuo kizima ni wangapi na waliodisco ni asilimia ngapi ya chuo kizima na each department.
Na kiukweli km mnafika 5,000 chuo kizima basi naweza kusema mmefaulu kwa kishindo wanafunzi wa UDSM mwaka huu.
 
Nao mumuombe Pinda awachunguze kama NBAA
 
Utafiti ukifanyika unaweza gundua members wa night clubs za mjini Dar wanafunzi wa UDSM wanaongoza. Hii inaweza kuchangia on poor performance kwa sababu sio priority ya kujiunga na chuo
 
Ninachojua ni kwamba shule ya UDSM sii ya kitoto.Kwa hawa watoto wa siku hizi wanaosoma magazeti ya udaku kila siku lazima ushikwe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…