KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Karibuni STREET UNIVERSITY...huku hakuna hayo mambo ya kudisko...huku ni tambaraaare..kuna kozi nyingi sana kama kuchoma mahindi, kukaanga mihogo, kuuza chenji stendi za daladala, kusafirisha unga(cocaine)..kwa wale wenye ubavu wao kuna kozi ya kubeba zege..kumbuka KOZI ni BURE...Karibuni tulijenge taifa kupitia mlango wa nyuma...