Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

watu wa ajabu kweli... is there a way kulinganisha udsm na ..... sijui sauti udsm mostly takes 1 class students then wanaobaki wanaenda vyuo vingine. anyway zungumzien kufel kwa wanafunzi tujue sababu.
 
Huu ni mwendelezo wa kufeli hapa nchini. Hali hii ilianzia kwenye Elimu ya Msingi, Sekondari, na sasa vyuo. Pia naamini kuna uwezekano baadhi sababu zinazosababisha kurudia mitihani kwa madogo zikawa zimechangia hao wanachuo 9000 kurudia nitihani. Pia hizo hizo sababu zilipopelekea darala sifuri zikawa zimechangia hata kuondolewa shule hao wanachuo 500. Nasubiri SAUT watoe takwimu kama hizi. Wala sishangai sana.
 

Hongereni wahadhiiri wa chuo kikuu kwa kufanya kazi kwa ufasaha. Hawa wanafunzi wanapewa maksi na lukuvi huko O-level, sasa unadhani wakifika chuo kikuu wataweza kweli. Kazeni kamba maprofessor wa hapo UDSM. Tunataka kurejesha heshma ya elimu tanzania.
 
Si kwamba vilaza tatizo labda n anasa na mambo ya uzinzi pili labda hao malecture wanataka uloda alafu pipoz zinatema magirlz so si jambo lakufurahua n bira kuwashauri

kuna baadhi ya malecturer huwa wanajiskia raha tu kuwakerisha watu na kuwapa sapu
 
Hapo miaka ya nyuma kabla ya kuingia chuo pale udsm tulikua tunafanya mtihani kutuchuja then mtakaofaulu ndo mnaingia chuo ila sasa hivi chuo kinapelekewa watu wasiowachagua sasa matokeo ndio haya wanahakikisha watakaomaliza ni wale waliokua wanawahitaji si zoa zoa tu..nakumbuka kulikua na vuguvugu la kugomea hii system ya tcu pale udsm ila serikali wakakomaa sasa cha mtema kuni anakipata denti...kuuza sura tu kwenye vimbweta..

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Dah!mwaka huu wamejitahidi.tulizoea kuona cass wamedisco 300,coet 400,udbs 200 na udsl kama 150 hv.then sup kama 12000,mwaka huu wamekua seriouz na shule.
 

Wakalale home!!!we unashinda umelala mabibo hostel,ama main campus ukiamka unaishia kucheki SERIES alafu unataka usi disco....pasu kwa pasu Wanaosoma wanasonga,wasiosoma wana disco.
Dar es salaaaaaaammmmmm hapo ni Jijini,ukiingia na kujifanya unataka uzungu wakati umetoka Sitimbi basi utarudi sitimbi
 
Coet mziki mwingine hawajali we TO au nn maana maTO kadhaa wameshaliwa kichwa hapo COET miaka ya nyuma

Kila siku narudia kawaeleza Tofautisha Elimu ya chuo na ya Advance..sasa habari za T.O wa advance zinaingiaje hapa!!mbona hao ambao hawakua ma T.O huko Advance hapa hawajakamatwa????tena wengi tu!!kutoka level moja kwenda nyingine ki taaluma kuna mabadiliko mengi hutokea,yani ni mazingira ya elimu yenye utofauti kubwa na changamoto tofauti.
 
kumbe ifm watu wanadisco ? wastani 40% basi ingekuwa 50% kama MUCCoBS & SUA NAHISI WANGEDISCO 900 ,shule ngumu ni sua & muccobs(50%) wengine hamna kitu

ifm wanashindana na Mzumbe ...nina ndugu yangu alikua prof.SUA alishawahi nithibitishia hilo kua vyuo anavyoviheshim Tz kwanza ni Mzumbe afu cha pili ni IFM..we kumbatia Muccobs yako...ukiwa na cheti cha IFM unaheshimika bro
 

Kwa COET hiyo idadi ni ndogo sana, hapo nawapa bigup sana, hapo CASS hapo ndio majanga
 

Wewe itakuwa unalako la moyoni na ma TO, mi binafsi namkubali hata aliekuwa TO primary, maana kama wewe ulishidwa level ndogo za huko, huku chuo utaweza vipi!! na utofauti unaousema hapa na Advance ni upi?? Au sababu chuo kuna course work??
 
Chezea udsm wewe.huwez fananisha na vyuo vingine ndio maana hata ktk ranks za kimataifa havipo?
 
Wewe itakuwa unalako la moyoni na ma TO, mi binafsi namkubali hata aliekuwa TO primary, maana kama wewe ulishidwa level ndogo za huko, huku chuo utaweza vipi!! na utofauti unaousema hapa na Advance ni upi?? Au sababu chuo kuna course work??

Mdogo wangu pole sana naona we ni mgumu kuelewa na nahisi nawewe utashikwa!!mwenzio hiyo level unayokomaa nayo nilishapita kitambo .....Hivi na fahamu zako zote huoni utofauti wa chuo na advance ki uanafunzi????
Ebu kesho mtafute uyo T.O aliyekula sup muulize kwanini alikua T.O alafu chuo anakula sup ama ku disco then atakuambia utofauti.\ zipo nyingi nakusaidia mbili nyingine chemsha kichwa chako
1. Advance wanafunzi wengi wako busy na shule wala hawaijui ela ila ukifika chuo na kupewa bumu akili inafyatuka..muulize T.O bwana L..S..KELO alikua anashinda bar
2. Advance kuna ukaribu na muingiliano mkubwa kati ya mwanafunzi na mwl. pamoja nakuletewa vi notes class,chuo Prof hana muda nawewe akija ana donoa anakuachia limzigo wewe kupekua mi vitabu.
 

Mr Wise sijui ni shule gani uliyosoma wewe, uliyokuwa unatafuniwa notes na walimu wako! Unaweza kuwa umesoma st. fulani, ndio maana unaona elimu ni tofauti sana, lkn ungekuwa umesoma zile shule za kukomaa mwenyewe, na umetoka kijijini ambako hakuna tuition kama ilivyo hapa chuo kikuu, hata usingeona utofauti!

Kwa taarifa yako sina historia ya kukamatwa, since primary, na hiyo nikukuthibitishia kwamba safari niliyopitia mimi mpaka hapa nilipo hata sioni utofauti.

Kama nikujishughulisha kutafuta pesa, nimeanza tangu secondary, advance nilikuwa najichanganya vizuri tu, na ndio maana sijaona utofauti na hapa UDSM!

Ukiona umefika chuo na unakamatwa sana, ujue huko ulikotoka ulikuwa una krem sana ama unakremishwa, lkn kama ulikuwa unaelewa, haliwezi kukupa shida! Huyo TO uliyemtaja hapo hata kama alikuwa anashinda Bar, sijapata record yake ya sup, kama unauhakika alikuwa anakamatwa kama ilivyokuwa kwako njoo hapa COET tuchek record! maana nina wasiwasi sana na wewe, ndio nyie mnaochomokaga na gentle.
 
Kwanib si ninasikia matokeo kamili kwa UDSM ni leo mimi nasubiri yatoke niaangalie na ya kwangu
 

Pole mdogo wangu bado unajikanyaga kimaelezo,,,nani aliyedai ma T.O wanachemsha,kama sio wewe huko juu???T.O niliemtaja hapo nimemuweka ili ujue Chuo alibadilika pia..Dah ukitaka nije tucheki record utakumbwa na aibu nilipita vizuri na nikawa awarded 3 scholarships za masters 1 ya hapo,2 za abroad,sisemi mengi sipo kujisifia hayo tuyaache. Kuhusu utofauti wa Elimu naona umeshindwa kuitetea hoja yako,unatoa mfano wako wakuanza kutafuta fedha mapema Je hao mia5 walio disco ni kama wewe??nao walitafuta pesa mapema na kujichanganya???weeee watu wanafika mfano mabibo Hostel hata Kiswahili hawajui na baada ya muda unawaona wanashusha mlegezo na wakike wanavaa viatu vya kuchuchumili na kujiremba class wana doji Jiji linawachanganya kutwa mapenzi na pombe (ingawa si wote,naomba nieleweke)hayo si mazingira tofauti mkuu??
Hiki kitakusaidia : Je aliyekua T.O primary ama Secondary ama A-Level aliendelee kusimama juu ya wenzie chuoni kama Jibu lako ni NO,then utafahamu kua kuna tofauti wa Elimu toka Level moja kwenda nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…