Majangaa kundi la nyuki wavamia nyumba ya mpwa wangu iliyopo mjini Dar mtaa wa Idrissa

Uzuri wa nyuki kama hujawachokoza wala hawawezi kushughulika na wewe.
Kimbembe wajaribu kuuwa nyuki mmoja tu hapo, mtaa mzima watakimbia nyumba zao, na hakuna atakaekuwa na uwezo wa kushika simu kuwa record kama hivi. Nyuki ni jeshi linaloshambulia kwa pamoja, na huwa hawakati tamaa wala kukubali kushindwa.

Nashauri mtafute wataalam wa maliasili wanaohusika na uvunaji wa asali waje wafanye mpango wa kuwachota kupitia vyombo vyao maalumu.
 
Wamejitahidi kuwauwa nyuki hawataki kutoka

762c11c5-f674-419e-bad0-926450a74467.jpg

d335da33-c96b-4608-b978-7594df5247d8.jpg
 
Uzuri wa nyuki kama hujawachokoza wala hawawezi kushughulika na wewe.
Kimbembe wajaribu kuuwa nyuki mmoja tu hapo, mtaa mzima watakimbia nyumba zao, na hakuna atakaekuwa na uwezo wa kushika simu kuwa record kama hivi. Nyuki ni jeshi linaloshambulia kwa pamoja, na huwa hawakati tamaa wala kukubali kushindwa.

Nashauri mtafute wataalam wa maliasili wanaohusika na uvunaji wa asali waje wafanye mpango wa kuwachota kupitia vyombo vyao maalumu.
Wanakushughulikia barabara!
Anawachokoza mwingine wanashughulika na wewe.
Be careful. Usijiamini hivyo.
 
Mkuu umesoma nilichoandika kweli.

Mbona nimeweka wazi kuwa wakichokozwa wanaweza kushambulia mtaa mzima haijalishi ni nani aliewachokoza.

Lakini narudia tena kuwa nyuki kama haukuwachokoza, wala hawawezi kushughulika na wewe, ndomaana unaona mtimkavu amepata ujasiri wa kusimama pembeni kuchukua video. Kama wangekuwa wanashambulia tu hovyo bila kuchokozwa basi hao waliochukua video wasingepata ujasiri au uwezo huo wa kuchukua video huku wanaongea.
 
hao wadudu ni hatari sana ni wakuuwa wote mara moja
 
Yah hapo anatakiwa afunge milango na madirisha, alafu achome matairi hata mawili ndani (ila ahakikishe hamna mtu wa gesi) na ayachome mbali na vitu vinavyoweka kushika moto. Kisha watoke nje kwa saa kama moja au mbili hivi alaf ndo warudi kufungua milango.
 
hiyo inafukuza tuh wanaweza kurudi au kukudhuru dawa ni RUNGU piga ya kutosha kesho unawafagia wote wakiwa wamekufa kabisa
 
Back
Top Bottom