adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
MMiaka hiyo katika kusaka mkate..nyuki walivamia pahala..katika jitihada za kuoka mtu..aise nyuki wanaumaa1😀😀😀Uzuri wa nyuki kama hujawachokoza wala hawawezi kushughulika na wewe.
Kimbembe wajaribu kuuwa nyuki mmoja tu hapo, mtaa mzima watakimbia nyumba zao, na hakuna atakaekuwa na uwezo wa kushika simu kuwa record kama hivi. Nyuki ni jeshi linaloshambulia kwa pamoja, na huwa hawakati tamaa wala kukubali kushindwa.
Nashauri mtafute wataalam wa maliasili wanaohusika na uvunaji wa asali waje wafanye mpango wa kuwachota kupitia vyombo vyao maalumu.