Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejaribu kuwaona wazee pale Magomeni?
Wazee gani tena hao wa Magomeni?Umejaribu kuwaona wazee pale Magomeni?
Yaani wewe na matunguri yako umefua dafu? Mwulize alilijengaje hilo ghorofa isije ikawa alidhulumu mtu!Wazee gani tena hao wa Magomeni?
Mimi nipo mbali sipo bongoYaani wewe na matunguri yako umefua dafu? Mwulize alilijengaje hilo ghorofa isije ikawa alidhulumu mtu!
Wanakushughulikia barabara!Uzuri wa nyuki kama hujawachokoza wala hawawezi kushughulika na wewe.
Kimbembe wajaribu kuuwa nyuki mmoja tu hapo, mtaa mzima watakimbia nyumba zao, na hakuna atakaekuwa na uwezo wa kushika simu kuwa record kama hivi. Nyuki ni jeshi linaloshambulia kwa pamoja, na huwa hawakati tamaa wala kukubali kushindwa.
Nashauri mtafute wataalam wa maliasili wanaohusika na uvunaji wa asali waje wafanye mpango wa kuwachota kupitia vyombo vyao maalumu.
Mkuu umesoma nilichoandika kweli.Wanakushughulikia barabara!
Anawachokoza mwingine wanashughulika na wewe.
Be careful. Usijiamini hivyo.
hao wadudu ni hatari sana ni wakuuwa wote mara mojaMkuu umesoma nilichoandika kweli.
Mbona nimeweka wazi kuwa wakichokozwa wanaweza kushambulia mtaa mzima haijalishi ni nani aliewachokoza.
Lakini narudia tena kuwa nyuki kama haukuwachokoza, wala hawawezi kushughulika na wewe, ndomaana unaona mtimkavu amepata ujasiri wa kusimama pembeni kuchukua video. Kama wangekuwa wanashambulia tu hovyo bila kuchokozwa basi hao waliochukua video wasingepata ujasiri au uwezo huo wa kuchukua video huku wanaongea.
Yah hapo anatakiwa afunge milango na madirisha, alafu achome matairi hata mawili ndani (ila ahakikishe hamna mtu wa gesi) na ayachome mbali na vitu vinavyoweka kushika moto. Kisha watoke nje kwa saa kama moja au mbili hivi alaf ndo warudi kufungua milango.hao wadudu ni hatari sana ni wakuuwa wote mara moja
hiyo inafukuza tuh wanaweza kurudi au kukudhuru dawa ni RUNGU piga ya kutosha kesho unawafagia wote wakiwa wamekufa kabisaYah hapo anatakiwa afunge milango na madirisha, alafu achome matairi hata mawili ndani (ila ahakikishe hamna mtu wa gesi) na ayachome mbali na vitu vinavyoweka kushika moto. Kisha watoke nje kwa saa kama moja au mbili hivi alaf ndo warudi kufungua milango.