Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Kama thread isemvyo vipi imefikia wapi maana mwaka Jana USA alitangsza kuifanyia majaribio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah hatariHizi research ni za muda mrefu mpaka dawa ipatikane
1 wahakikishe wagonjwa walioacha ARV hawafi kwa kushambuliwa na virus, pia waliacha ARV hawaambukizi virus kwa wengine
2. Dawa ni salama kwa matumizi ya binadamu