Majaribio ya dawa ya ukimwi 2018 yamefikia wapi?

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
1,311
Reaction score
1,018
Kama thread isemvyo vipi imefikia wapi maana mwaka Jana USA alitangsza kuifanyia majaribio
 
Hizi research ni za muda mrefu mpaka dawa ipatikane
1 wahakikishe wagonjwa walioacha ARV hawafi kwa kushambuliwa na virus, pia waliacha ARV hawaambukizi virus kwa wengine
2. Dawa ni salama kwa matumizi ya binadamu
 
Dah hatari
 
Back
Top Bottom