Majaribio ya Dokta Masaru Emoto juu ya athari za hisia na mawazo katika uhalisia

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Dokta Masaru Emoto aliweka maji safi (Distilled water) katika Glass 2 za maji, glass moja alibandika neno ‘Upendo’ , Glass nyingine akaandika neno ‘Nakuchukia’, na akawa anayanenea hayo maneno kwenye yake maji kwa muda wa siku 30. Baada ya hapo akagandisha yale maji na kupiga picha kwa microscope ili kuona muundo wa kimolekuli wa yake maji.

Maji yaliyonenewa neno upendo, yalikuwa na muonekano uliopendeza na kuvutia sana, maji yaliyonenewa chuki, molekuli zake zilikuwa na mvurugiko wa kutisha na kuogofya. Alirudia jaribio hili mara 10, na majibu yakawa yale yale.

Jaribio lingine lilitumi wali uliopikwa na kuiva. Chombo kimoja chenye wali kiliandikwa ‘Nakupenda’, chombo kingine kiliandikwa ‘Nakuchukia’. Baada ya kunenewa kwa siku kadha, wali wa upendo ulianza ‘Kuferment’ na kutoa harufu nzuri kama ya mvinyo, wali wa Chuki ulianza ‘Kudecay’ na kutengeneza uozo mweusi.

Hivyo basi tuwe makini na maji ya Mwamposa, maana hatujui anayanenea kitu gani kabla ya kuwapa waumini. Angalia video chini

View: https://youtu.be/1qQUFvufXp4?si=0i13lmD7ha9jwvlT
 
922896ff733074546dd636c2d46fb66d.jpg
 
Watu wanaoelewa mambo Ya Divine, Spiritual na Immortality wataelewa unachomaanisha mkuu,
Utafiti wa jamaa ni uhalisia kabisa wa mambo na nguvu za kiroho tulizonazo,
We are creator!
 
mtu Hana nguvu yoyote ya spiritual hizi story tu za uongo .kwakifupi mwenye hela na mamlaka huyo ndo mwenye nguvu ila akina c.c. hata guvu zakiume tu hatuna
 
Ok sawa tufanye huna nguvu wewe binafsi,
Ila naomba usiwe msemaji wa wote sawa ndugu!

Note:Kitu usichokua na access nacho huna Mamlaka ya kusema hakipo sema tu sina maana wengine wanavyo

Spiritual power ninazo kwa upande wangu na nazitumia kuendesha mambo yangu sina haja ya kukuelezea sana maana haita make sense kwako!

Alamsiki!
 
Achana nae huyo.
 
huna.! unazitumia kufanya nini. muongo bhan. hakunaga hio roho .!
 
Dokta Masaru Emoto aliweka maji safi (Distilled water) katika Glass 2 za maji, glass moja alibandika neno ‘Upendo’ , Glass nyingine akaandika neno ‘Nakuchukia’, na akawa anayanenea hayo maneno kwenye yake maji kwa muda wa siku 30. Baada ya hapo akagandisha yale maji na kupiga picha kwa microscope ili kuona muundo wa kimolekuli wa yake maji.

Maji yaliyonenewa neno upendo, yalikuwa na muonekano uliopendeza na kuvutia sana, maji yaliyonenewa chuki, molekuli zake zilikuwa na mvurugiko wa kutisha na kuogofya. Alirudia jaribio hili mara 10, na majibu yakawa yale yale.

Jaribio lingine lilitumi wali uliopikwa na kuiva. Chombo kimoja chenye wali kiliandikwa ‘Nakupenda’, chombo kingine kiliandikwa ‘Nakuchukia’. Baada ya kunenewa kwa siku kadha, wali wa upendo ulianza ‘Kuferment’ na kutoa harufu nzuri kama ya mvinyo, wali wa Chuki ulianza ‘Kudecay’ na kutengeneza uozo mweusi.

Hivyo basi tuwe makini na maji ya Mwamposa, maana hatujui anayanenea kitu gani kabla ya kuwapa waumini. Angalia video chini

View: https://youtu.be/1qQUFvufXp4?si=0i13lmD7ha9jwvlT

Words are spirit
 
Back
Top Bottom