FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Dokta Masaru Emoto aliweka maji safi (Distilled water) katika Glass 2 za maji, glass moja alibandika neno ‘Upendo’ , Glass nyingine akaandika neno ‘Nakuchukia’, na akawa anayanenea hayo maneno kwenye yake maji kwa muda wa siku 30. Baada ya hapo akagandisha yale maji na kupiga picha kwa microscope ili kuona muundo wa kimolekuli wa yake maji.
Maji yaliyonenewa neno upendo, yalikuwa na muonekano uliopendeza na kuvutia sana, maji yaliyonenewa chuki, molekuli zake zilikuwa na mvurugiko wa kutisha na kuogofya. Alirudia jaribio hili mara 10, na majibu yakawa yale yale.
Jaribio lingine lilitumi wali uliopikwa na kuiva. Chombo kimoja chenye wali kiliandikwa ‘Nakupenda’, chombo kingine kiliandikwa ‘Nakuchukia’. Baada ya kunenewa kwa siku kadha, wali wa upendo ulianza ‘Kuferment’ na kutoa harufu nzuri kama ya mvinyo, wali wa Chuki ulianza ‘Kudecay’ na kutengeneza uozo mweusi.
Hivyo basi tuwe makini na maji ya Mwamposa, maana hatujui anayanenea kitu gani kabla ya kuwapa waumini. Angalia video chini
View: https://youtu.be/1qQUFvufXp4?si=0i13lmD7ha9jwvlT