Majaribio ya kumuua Mobutu

Majaribio ya kumuua Mobutu

Inaitwa akili ya fitina kama alivofanya IDD Amini hata Hitler,unaanzia chini kwa kuwa muaminifu,mbunifu,mwenye bidii then unaaminiwa ukipata mwanya unammaliza aliyekukaribisha chumbani. sawa na zero brain anajikomba ukimsaidia akishapata anakunyea.
Hahaha kweli kabisa mkuu
Alichomfanyia Jk sio kizuri
 
Mkuu sijui wapi niwe naweka notification ili ukileta habari zako niwe najua.Tutajie majina aliyokuwa anatumia Mobutu nakumbuka lile la kuku wa zabanga.
 
Mkuu sijui wapi niwe naweka notification ili ukileta habari zako niwe najua.Tutajie majina aliyokuwa anatumia Mobutu nakumbuka lile la kuku wa zabanga.
Uki ni follow utakua unaziona
Mobutu alizaliwa akapewa jina la joseph desire mobutu

Yeye akajiita mobutu sese seko kukungbendu wa zabanga

Mengine ya A.K.A ni
Papa marechal, roi,le grand leopold, father of the nation, na mengine mengi

Nitaweka humu clip akiyataja majina yake mwenyewe
 
Mafuriko yaani majanga
Baada ya yeye kutoka madarakani, ikatokea vita ya pili ya congo ,ma elfu ya watu wakafa
Rwanda ikaifanya congo shamba la bibi
Wakati wa mobutu, watu hawakufa hovyo.nchi ilikua na amani
Mkuu nataka niongee /niandike kitu ila nimefuta futa ,nadhani ushajua aliyetolewa alikuaje
 
Mkuu nataka niongee /niandike kitu ila nimefuta futa ,nadhani ushajua aliyetolewa alikuaje
Mkuu
Yeye alikua mpigaji tu
Zaidi za asilimia 30 ya bajeti ya nchi inasemekana alikua anachukua yeye
Pia alitesa wapinzani lakini kulikua na amani
 
Maisha ya dunia ni ya kukimbiza upepo, pamoja na fahari yote,ndumba, ulinzi, nk still unaiacha dunia.
 
Back
Top Bottom