Majaribu makali anayopitia mwanadamu hapa duniani. (hii dunia ina majaribu sana)

kuna mambo Mungu alihaidi kutorudia kuyafanya, majaribu yanaepukika tu mbona, inategemeana unampenda Mungu wako kwa kwa kiasi gani na gharama ipi, ukimpenda Mungu kuna vitu vingi sana utaweza kuruka viunzi na kuviacha,upendo ni gharama eti,
 
unafanya vizuri sana kuelimisha juu ya imani,sio wote watakua upande wako ila wajue kuna faraja kubwa sana kumtumikia Mungu ,Mungu wetu ni mzuri sana sana kuna mengi sana mazuri utayapata ukiwa nae karibu,Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu ,na ndiyo maana utasikia watu kwenye mahusiano mwenza wake ana wivu ni nzuri hiyo maana kwenye upendo wivu ni muhimu sasa kama Mungu ana wivu tusipo mtumikia imagine hiyo love ya Mungu juu yetu
 
unaogopa kufa
Hilo ni swali fikirishi sana ila swali ni kwamba nikifa naenda wapi hapo ndipo hofu inakuja hapo tu sio kingine, ila kuna wakati ile hofu hua inaondoka pale tu ninapokua nimetimiza mission fulani hua nasema hapa hata nikifa leo nitakua nimeacha alama hii hata nikirudi nitakuja kuiangalia hii alama niseme hapa niliwahi kuishi ingawa najua kwa kipindi sitoweza kujua niliwahi kuishi lini ni maisha baada ya kifo
 
leo sijiskii kujibizana ila itoshe kusema sihitaji mtu wa kuniombea nitakua najipambania huko faragha na Mungu wangu namueleza yote yanayo nitesa na yanayo nishinda ipo siku nitafika na nitavipata ninavyo vihitaji,,,,

kwaheri
 
mmmh oukyyy
 
ni aina ya maswali wengi kati yetu tunajiuliza je baada ya kifo ninaenda wapi?hayo ndiyo maswali ya msingi,unahisi utaenda wapi mkuu🤣🤣
 
ni aina ya maswali wengi kati yetu tunajiuliza je baada ya kifo ninaenda wapi?hayo ndiyo maswali ya msingi,unahisi utaenda wapi mkuu baada ya kifo?🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…