Majaribu

Majaribu

Unakubalije kushikwashikwa na shemejio?Inaelekea unataka tukuambie nawe umshike ili muendelee na mchezo wenu maana ushemeji una mipaka na huwezi kuruhusu akuzoee kiasi hicho.
Cha kufanya kwa kuwa ulianza kwnda nae lunch usiache maana wewe mwenyewe ndio uliyeyaanzisha hivyo vumilia tu ila mwambie kuwa hufurahii kushikwa nae na ataelewa

Sasa unashikwa bega ! Ukimbie??? umekuwa chizi? Mwache aviamshe vilivyolala atajua namna ya kuvilaza tena vikishaamka
 
Wakuu
Hii nimeona niilete humu ili tuijadili!
Kuna mdada mmoja jamaa yake ni rafiki yangu! Wanaishi pamoja ingawa hawajafunga ndoa kiutaratibu ila wapo mbioni! Sasa imekuwa kila lunch time anataka ama tuende nae au nimpe hata hela akinunu chakula akipendacho! Hii inanikera maana wakati mwingine uchumi unakuwa siyo mzuri na unaanza kupata shida ya kumuepuka! Mbaya zaidi juzi wakati wa lunch akaanza kuni minyaminya mabegani kama mtu anayezifanyia masaji muscles za mabega! Hii naona ni dalili mbaya hasa kwangu maana mimi ni mwepesi wa mahisia ya mapenzi na yeye ni demu wa jamaa yangu! nifanyeje kuliepuka hili wakuu..........., Kumwambia nashindwa nahisi atanichukia na mimi sipendi iwe hivyo!

Mfumue tu
 
tena mlegezee kabisa avishike kwa raha zake!kwanini umnyime mtu kitu wakati unacho bana!
 
Sasa unashikwa bega ! Ukimbie??? umekuwa chizi? Mwache aviamshe vilivyolala atajua namna ya kuvilaza tena vikishaamka
Jamani Kimbweka sasa unataka ushauriwe wakati tayari umekaa mkao wa kula?:A S 8:
 
kama wewe siyo member wa kile chama,nakushauri ukae mbali na huyo mrembo make sure kama ni wakati wa lunch awepo huyo rafiki yako vinginevyo badili maeneo ya kula ili msigongane.
 
Vitendo bila kuchelewa ndio siri ya mafanikioooooo,katika kaziiii x8
ukiwa mvivuuuuu,ni kosa kubwaaaa,kusahau wajibu wakooooooo,ni kosa kubwaaaaaa,kuzembea kaziiiiiiiii ni kosa kubwaaaa,kutoa visingizioooooooooo nikosa kubwaaaaaaaaa
Halafu sijui haka kawimbo kanaishiaje vile?
 
Jamani Kimbweka sasa unataka ushauriwe wakati tayari umekaa mkao wa kula?:A S 8:

Kabla hujala ambavyo hujawahi kula lazima uulizie kama vina madhara mengi kuliko mafanikio au vinginevyo
 
sasa nimekuelewa unachotaka............................!
don't do that.............................!
 
Wakuu
Hii nimeona niilete humu ili tuijadili!
Kuna mdada mmoja jamaa yake ni rafiki yangu! Wanaishi pamoja ingawa hawajafunga ndoa kiutaratibu ila wapo mbioni! Sasa imekuwa kila lunch time anataka ama tuende nae au nimpe hata hela akinunu chakula akipendacho! Hii inanikera maana wakati mwingine uchumi unakuwa siyo mzuri na unaanza kupata shida ya kumuepuka! Mbaya zaidi juzi wakati wa lunch akaanza kuni minyaminya mabegani kama mtu anayezifanyia masaji muscles za mabega! Hii naona ni dalili mbaya hasa kwangu maana mimi ni mwepesi wa mahisia ya mapenzi na yeye ni demu wa jamaa yangu! nifanyeje kuliepuka hili wakuu..........., Kumwambia nashindwa nahisi atanichukia na mimi sipendi iwe hivyo!

Bila shaka lanji ya leo mnaenda pamoja...
 
Mwambie wazi aache tabia yake hiyo. Unaogopa nini au unamtaka?
 
Hapo ndipo unapokosea au kama ukishindwa hebu pitia ile thread ya mpwa TEAMO uangalie rule namba ngapi inaweza ika apply
muogope kama ukoma, naona anataka kukutumbukiza katika matatizo, mkaushie usimpe hela ya chakula kama mwezi atajua hutaki mchezo wake, na ikibidi muonyeshe mpenzi wako maana ww na yy ni mashemeji tu, hapo huwezi kula mzigo kaka.
 
Wakuu
Hii nimeona niilete humu ili tuijadili!
Kuna mdada mmoja jamaa yake ni rafiki yangu! Wanaishi pamoja ingawa hawajafunga ndoa kiutaratibu ila wapo mbioni! Sasa imekuwa kila lunch time anataka ama tuende nae au nimpe hata hela akinunu chakula akipendacho! Hii inanikera maana wakati mwingine uchumi unakuwa siyo mzuri na unaanza kupata shida ya kumuepuka! Mbaya zaidi juzi wakati wa lunch akaanza kuni minyaminya mabegani kama mtu anayezifanyia masaji muscles za mabega! Hii naona ni dalili mbaya hasa kwangu maana mimi ni mwepesi wa mahisia ya mapenzi na yeye ni demu wa jamaa yangu! nifanyeje kuliepuka hili wakuu..........., Kumwambia nashindwa nahisi atanichukia na mimi sipendi iwe hivyo!
mzigo umejileta wenyewe tafuna kaka acha kuremba chapa mara moja halafu upe makavu live (upotezee)
 
Back
Top Bottom