Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
- Thread starter
- #21
Unakubalije kushikwashikwa na shemejio?Inaelekea unataka tukuambie nawe umshike ili muendelee na mchezo wenu maana ushemeji una mipaka na huwezi kuruhusu akuzoee kiasi hicho.
Cha kufanya kwa kuwa ulianza kwnda nae lunch usiache maana wewe mwenyewe ndio uliyeyaanzisha hivyo vumilia tu ila mwambie kuwa hufurahii kushikwa nae na ataelewa
Sasa unashikwa bega ! Ukimbie??? umekuwa chizi? Mwache aviamshe vilivyolala atajua namna ya kuvilaza tena vikishaamka