Nadhani ni kipindi hicho ambacho Tanzania ikisimama na kuongea kitu Africa inatetemeka na Dunia inafatilia kwa ukaribu maamuzi ya Tanzania
Kuwaondoa Makaburu, Kuvunja uhusiano na nchi kama Uingereza, kuvunja uhusiano na Israel na kuitambua Palestina, Kuitambua Sahara Magharibina chama chao Polisario, Kuwa waanzilishi wa NAM (nchi zisizofungama na upande wowote), kuwa makao makuu ya wapigania uhuru wa Kiafrica, (Zimbabwe, Namibia, RSA, Angola, Mozambique nk) na pia kuwa makao ya wna harakati maarufu, Mondlane, Samora, Museveni, Kagame, Garang, Obote, Rule,
Zile Zama zimepita na sasa Tanzania haina tena zile nguvu