Mladi wenu wa Udalali wa Siasa mmechukua pesa za Umma na kusafiri kwenda Singida kufanya Udalali wa siasa mnatumia baa la njaa kuwanunua wenye njaa kisha mmewafundisha waandike barua hizo,tambua kuwa watanzania wa sasa wanajua siasa za maji taka lazima zielekezwe kwa Lisu ili mpate kupumua maana anatishia ulaji wenu kwenye Kitengo cha fitna,uchakachuaji,uchonganishi,uzushi na kamati za Ufundi,mbinu zenyewe hizi ni za kizamani sana kila mwenye Akili atajua ni fitna zenu tu mpate kupungua njaa zenu kwa kisingizio kuwadhoofisha Wapinzani.