Majasusi wa Marekani wafichua namna walivyoipeleleza Tanzania

Nimekipenda kipande walicho admit kwamba "they were frustrated because of their inability to control or influence Nyerere......."
But challenges make them stronger.Which in turn is not what we need or want km usalama wetu wangekuwa smart.
 
They were frustrated because of their inability to control Nyerere.........

Ndugu nilibahatika kukaa na kupiga stori na waziri wa ulinzi wa zamani enzi za Nyerere kuhusu muungano na kwa nini tuliungana akiainisha sababu kubwa,basi tangu siku hiyo ninamshangaa sana mtu anaepinga hii union badala ya kupendekeza kipi kiboreshwe.

Wengi wetu wanamihemko ya kisiasa thats why they dont see the bigger picture.
 

Acha mawazo mgando!
The world has changed my friends!
 
Pumbavu sana wewe na Trump wako. Mwanaume/ mwanamke mzima unashindwa kufight mwenyewe unamtegemea Trump?! Kwa lipi hasa? Acha umama mama, napiga picha huyo Trump asingekuwepo ungeficha mkia! Ukaufyata?!
Kweli wewe ni ushuzi.
endelea kufua Pichu kwa Lipumba utabakia kukariri ujinga mpaka unang'oka meno wenzako akina Le-mutuz walikaa gheto wakajisahau mpaka wanazeeka hawana wake matokeo yake ni kuwa wapambe wa jinga jinga kama ww zero,Tanzania ya sasa kuna Ubabe na Wapinzani hawana pa kupumulia kutwa wanafungwa na kupelekwa mahakamani unataka wafanyeje ili wapate haki zao? au unapenda vita ya Bunduki? Nina wasiwasi na wewe! huyo house boy unayelala nao atakuwa kakupa mimba umechanganyikiwa.
 
Huyu hana tofauti na yule anaejiita mwanasheria huku akiacha mwanachama wake nguli akiteketea gerezani.

Nyerere hakuwa 100% perfect lakini mambo yaliyo mengi alijitahidi sana,na kunasehem nyingine US wameadmit kwamba wali underestimate Nyerere's influence baada ya kuachia ngazi........
 
Problem hapa tunajadili what they spied and not how they spied. Hata thread ipo katika how ila ndani ipo zaidi katika what.

Inaonyesha jinsi tuna misread issues pia jinsi tuko easily influenced.
 
They had to spy on Tanzania because of its influence to other African countries na suala la ujamaa lilikuwa linafanikiwa kwa kiasi kikubwa sana so they were afraid what if the whole continent adopt ujamaa....
 
Na wewe ni mfamaji, udikteta unaufahamu, endeleza unyumbu wako wakati wenzio huko Singida wameishastuka na wanamfahamu dikteta ni nani? Soma #2 hapo chini, ukishamaliza useme je huyo dikteta wenu wa Ufipa na Singida ataondolewa na nani 2020
 
Ccm haijafa mkuu! Ccm INA hazina kubwa sana ya watu waadilifu na wazalendo!
CCM ina watu waadilifu na wazalendo toka lini.?

Bwihi.. labda wengine hatuishi Tanzania
 
Siku tukifikia hatua hii ya kufia nchi na siyo vyama tutakuwa tumeshinda tayari..
 
But challenges make them stronger.Which in turn is not what we need or want km usalama wetu wangekuwa smart.
Kwa wakati ule Tz haikuwa na technology yeyote ndugu na marekani anamspy hadi mjerumani ambaye yuko almost self sufficient.....sembuse bongo?
 
Naona umepanic sana, vipi wewe bado unamfulia maalimu seif nguo zake?
 
Pumbavu sana wewe na Trump wako. Mwanaume/ mwanamke mzima unashindwa kufight mwenyewe unamtegemea Trump?! Kwa lipi hasa? Acha umama mama, napiga picha huyo Trump asingekuwepo ungeficha mkia! Ukaufyata?!
Kweli wewe ni ushuzi.
Kwa nini mkiambiwa kuhusu udikteta wenu mnatoka povu hadi sehemu ya nyuma?
 
Mladi wenu wa Udalali wa Siasa mmechukua pesa za Umma na kusafiri kwenda Singida kufanya Udalali wa siasa mnatumia baa la njaa kuwanunua wenye njaa kisha mmewafundisha waandike barua hizo,tambua kuwa watanzania wa sasa wanajua siasa za maji taka lazima zielekezwe kwa Lisu ili mpate kupumua maana anatishia ulaji wenu kwenye Kitengo cha fitna,uchakachuaji,uchonganishi,uzushi na kamati za Ufundi,mbinu zenyewe hizi ni za kizamani sana kila mwenye Akili atajua ni fitna zenu tu mpate kupungua njaa zenu kwa kisingizio kuwadhoofisha Wapinzani.
 
Reactions: bdo
Alan Hutchinson anaandika katika kitabu chake ' CHINA AFRICA REVOLUTION' Kila mgeni aliyeingia TZ hasa kama anatoka nchi usiyo rafiki wa JK,kipindi cha miaka ya 1960 alihesabiwa mpelelezi(Jasusi) wa mabeberu ya magharibi; watalii waliokuja na kamera zilitaifishwa
 
Plz fafanua huo muungano ulikuwa unawaathiri vipi wamarekani? Hv unajua kuwa huo muungano uliratibiwa na uingereza kwa ushirika na marekani chini ya Zanzibar Action Plan(ZAP)?
 
Sasa hivi mmebaki wenyewe huku JF na unyumbu wenu wa mitandaoni ila huko site wenzenu wameisha stukia utapeli wenu wameanza kurudi njia kuu.

Dhambi yenu kuu ilikuwa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…