Majasusi wa Marekani wafichua namna walivyoipeleleza Tanzania

Majasusi wa Marekani wafichua namna walivyoipeleleza Tanzania

They were frustrated because of their inability to control Nyerere.........

Ndugu nilibahatika kukaa na kupiga stori na waziri wa ulinzi wa zamani enzi za Nyerere kuhusu muungano na kwa nini tuliungana akiainisha sababu kubwa,basi tangu siku hiyo ninamshangaa sana mtu anaepinga hii union badala ya kupendekeza kipi kiboreshwe.

Wengi wetu wanamihemko ya kisiasa thats why they dont see the bigger picture.
We kauli yako inamaanisha mwanzo ulikuwa pia unapinga ulipoelezwa ukaelewa ukaacha kupinga, ulivulokuwa mburura badala uweke ukweli huo kuwabadirisha vijana hao nao wawe na mtazamo kama wewe unaishia kulaumu. Afu utasema nawe imuna degree
 
Mkuu ukiwa mkweli ushindi we vita sio wa mbwa au bunduki. Tanzania ilitumika na nchi zenye maslahi. Ndio maana nchi tulizozikomboa wademocrasia na usitawi kuliko sisi. Sisi tulitumika kufanya tusivyovijua
Kama Zimbabwe,Msumbiji na Angola?
 
We kauli yako inamaanisha mwanzo ulikuwa pia unapinga ulipoelezwa ukaelewa ukaacha kupinga, ulivulokuwa mburura badala uweke ukweli huo kuwabadirisha vijana hao nao wawe na mtazamo kama wewe unaishia kulaumu. Afu utasema nawe imuna degree
Heee,sentensi fupi unashindwa kuelewa.....
 
Nadhani ni kipindi hicho ambacho Tanzania ikisimama na kuongea kitu Africa inatetemeka na Dunia inafatilia kwa ukaribu maamuzi ya Tanzania

Kuwaondoa Makaburu, Kuvunja uhusiano na nchi kama Uingereza, kuvunja uhusiano na Israel na kuitambua Palestina, Kuitambua Sahara Magharibina chama chao Polisario, Kuwa waanzilishi wa NAM (nchi zisizofungama na upande wowote), kuwa makao makuu ya wapigania uhuru wa Kiafrica, (Zimbabwe, Namibia, RSA, Angola, Mozambique nk) na pia kuwa makao ya wna harakati maarufu, Mondlane, Samora, Museveni, Kagame, Garang, Obote, Rule,

Zile Zama zimepita na sasa Tanzania haina tena zile nguvu
HAKUNA BINADAMU YEYOTE ANAYEWEZA KUIONDOA NYOTA YA TANZANIA. ....HII NCHI INA BARAKA ZOTE ZA MWENYE ENZI MUNGU. ...BELIEVE ME. ....
 
why did the CIA release these files?

Nadhani report nyingi za CIA ambazo zinakuwa ni classified huwa wanazi declassify baada ya miaka kadhaa kupita! Zinakuwa hazina tena athari hata kama sisi akina Yegomasika tutazisoma/kuziona mtandaoni!
 
Ndiyo maana mimi uwa nina mashaka na sifa anazopewa mandela.
Ukiona mzungu anamsifia mwafrika na kumkuza sana ujue alikuwa kibaraka wao.
I think at some point mandela walimbadili akawa kibaraka wao maana nyerere kaipigania sana afrika kuliko viongozi wengi lakini mandela anasifika sana na kujulikana sana kuliko nyerere ndiyo maana mugabe analitambua hilo
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Pia aliwazidi kete zaidi pale alipomuachia Mwinyi madaraka tofauti na watu ambao CIA walidhani angewaachia .
Mwinyi alipewa urais kwa sababu ya kifo cha ghafla ya mheshimiwa sokoine!
 
I am convinced that UVCCM or mr.polepole will come out/hold a press conference to condem the americans for espionage over our country..

There is a lot to learn from these docs especially on Nyerere leadership and his influence on cold war world politics..
 
Nadhani ni kipindi hicho ambacho Tanzania ikisimama na kuongea kitu Africa inatetemeka na Dunia inafatilia kwa ukaribu maamuzi ya Tanzania

Kuwaondoa Makaburu, Kuvunja uhusiano na nchi kama Uingereza, kuvunja uhusiano na Israel na kuitambua Palestina, Kuitambua Sahara Magharibina chama chao Polisario, Kuwa waanzilishi wa NAM (nchi zisizofungama na upande wowote), kuwa makao makuu ya wapigania uhuru wa Kiafrica, (Zimbabwe, Namibia, RSA, Angola, Mozambique nk) na pia kuwa makao ya wna harakati maarufu, Mondlane, Samora, Museveni, Kagame, Garang, Obote, Rule,

Zile Zama zimepita na sasa Tanzania haina tena zile nguvu
Umesahau na harakati za kuikomboa kongo kinshasa the famous zaire ambapo wanaharakati wa Cuba wakiongozwa na Che Guevara walitumia Tz kama kituo cha mipango yao
 
Umesahau na harakati za kuikomboa kongo kinshasa the famous zaire ambapo wanaharakati wa Cuba wakiongozwa na Che Guevara walitumia Tz kama kituo cha mipango yao

Kweli kabisa kaka, maana ilifikia point mpaka Che Guevara alijifunza Kiswahili ili iwe rahisi kwake kuwasiliana na wapambanaji, hapo alikiwa na Snr Kabila, na Che Guevara aliseama anaondoka kwa sababu ya kushindwa na tabia za Kabila za Ulevi na kupenda Ngono
 
why did the CIA release these files?
Normally kila baada ya miaka KADHAA ripoti za CIA hata MI6 ya Uingereza huwa zinakuwa DECLASSIFIED/ yaani hazina UMUHIMU tena wala MADHARA.

Mtu akizihitaji anaweza kuzipata. Wakati mwingine WANAZITOA kwa HIALI yao maana miaka imeenda hasa ikifika kama miaka 30 na zaidi hivi.

CIA Walikuwa wamegoma mpaka walipoPELEKWA mahakamani chini ya kifungu cha The RIGHT of ACCESS to INFORMATION Act. ndo mahakama ikawaamuru WAZITOE!
 
Marekani wanapenda kweli kujiingiza kwenye mambo ya nchi nyengine wakichokonolewa wao wanaanza kulialia,ukifuatilia kwa ukaribu sera ya mambo ya nje ya marekani utaelewa kwanini kila siku wanalipuliwa,wamesha assist mapinduzi,na destabilization ya nchi nyingi mno,wao ndio kichocheo cha matatizo yaliyopo sasa middle east,washaua watu wengi mno,lakini cha ajabu wakishambuliwa wao wanajifanya kulalamika kama wameonewa vile.Kama ukiwahi kujiuliza kwanini nchi za magharibi zinakumbwa na matukio mengi ya kigaidi jaribu kufuatilia kinagaubaga jinsi zilivyohusika kuharibu mambo ya nchi nyengine,hususan africa na mashariki ya kati utapata jibu.
 
Matusi yako hayawezi ondoa ukweli ata Rais Mpumbavu aliyekimbi mwanzoni alidhani nishujaa lakini tumeshuhudi Goliath akikimbia mbele ya waflist najua Magu ipo siku atakimbia nchi Sijui ninyi Kapuku mtaenda wapi?

Kwann akimbie?
 
Back
Top Bottom