Majasusi wa Marekani wafichua namna walivyoipeleleza Tanzania

Majasusi wa Marekani wafichua namna walivyoipeleleza Tanzania

ukiwa makini utaona hapa kuna....................................on .............................. Sitaki kufungwa mimi kabisa
 
Hapo naona lao moja tu
Lakini kuna mmoja ashakiri kuwa mwenzake ngome zake tangu enzi (2000s. Ago) uimara wake haujateteleka na wala taiga lake kubwa halijafanikiwa kuzitisha mbaya zaidi ikagundulika kuwa na security agents wake(US spies) wako loyal vatican-Jesuits Society
 
Ndiyo maana mimi uwa nina mashaka na sifa anazopewa mandela.
Ukiona mzungu anamsifia mwafrika na kumkuza sana ujue alikuwa kibaraka wao.
I think at some point mandela walimbadili akawa kibaraka wao maana nyerere kaipigania sana afrika kuliko viongozi wengi lakini mandela anasifika sana na kujulikana sana kuliko nyerere ndiyo maana mugabe analitambua hilo

Nna msimamo kama wako mkuu mchango wa mwalimu kwa bara letu ulikua mkubwa kuliko wa madiba ila madiba ndio anaimbwa na kuvuma nadhani alkua mwenzao kama ulivosema
 
Nna msimamo kama wako mkuu mchango wa mwalimu kwa bara letu ulikua mkubwa kuliko wa madiba ila madiba ndio anaimbwa na kuvuma nadhani alkua mwenzao kama ulivosema
Yah nyerere katumia resources nyingi sana kuwasaidia waafrika kupigania uhuru lakini madiba anapewa sifa hatari.
Mgabe analijua hili na aliwahi lisema
 
Kipindi hicho Tanzania ilikuwa nchi yenye nguvu sana hasa kwa kusaida nchi za kiafrika kijikomboa; N kwa sasa naamini wapelelezi kama wapo wanaoipeleleza nchi hii ni wale wanaotaka kujua dhahabu ipo wapi, gesi ipo wapi, almas ipo wapi na rasilimali zingine ili wajichotee waende zao.
 
Marekani wanapenda kweli kujiingiza kwenye mambo ya nchi nyengine wakichokonolewa wao wanaanza kulialia,ukifuatilia kwa ukaribu sera ya mambo ya nje ya marekani utaelewa kwanini kila siku wanalipuliwa,wamesha assist mapinduzi,na destabilization ya nchi nyingi mno,wao ndio kichocheo cha matatizo yaliyopo sasa middle east,washaua watu wengi mno,lakini cha ajabu wakishambuliwa wao wanajifanya kulalamika kama wameonewa vile.Kama ukiwahi kujiuliza kwanini nchi za magharibi zinakumbwa na matukio mengi ya kigaidi jaribu kufuatilia kinagaubaga jinsi zilivyohusika kuharibu mambo ya nchi nyengine,hususan africa na mashariki ya kati utapata jibu.
Wao ndio gaidi namba moja! Cha ajabu hawajioni, wanaona wengine.
 
Stupid, eti haitokaa, wewe unadharau taifa kisa chama, ukae ukijua chadema sijui ukiwa nyinyi ni scrapper, yaani ni gari ambalo halitakuja kutembea tena milele na milele, amina.
Lisipotembea itakusaidia nini wewe sasa?Kuna sifa nyingine ni za kipuuzi kwelikweli.Na wewe ni mdau wa usalama wa nchi una akili ndogo hivi?Unatoka misuli kama vile unadhani chadema sio mdau wa mafanikio ya nchi.Upuuzi wenu kama huu ndio unawaoafanya mnatoka roho kama vile chadema ni adui.
 
Wao ndio gaidi namba moja! Cha ajabu hawajioni, wanaona wengine.
Acheni kujidanganya wakuu,magaidi wapo na wanakwenda itawala dunia.Kama ilivyo majambazi,wakishakuwa huru na kujita kwamba wanapora matajiri ili kuwaokoa masikini.Msioiba mataitwa majambazi wakati mnapigana nao.Stupid world imefanya makosa kuonekana ni ukombozi.
 
Siku tukifikia hatua hii ya kufia nchi na siyo vyama tutakuwa tumeshinda tayari..
Hizo akili ni za stori ambazo tunaita too good to be true. Nchi ipi sasa ambayo ccm hawana uwezo wa kuvuruga chochote chema kilichoanza?Vijana wapumbavu ni laana kwa taifa.
 
The the,wamebaki watu cheap sana. Wasioweza deliver ndio maana wanapewa pipi na juice. Ndio watuwakilishe kwa Trump?
1485166126848.jpg


Mkuu kama hivi au.!!??
 
They were frustrated because of their inability to control Nyerere.........

Ndugu nilibahatika kukaa na kupiga stori na waziri wa ulinzi wa zamani enzi za Nyerere kuhusu muungano na kwa nini tuliungana akiainisha sababu kubwa,basi tangu siku hiyo ninamshangaa sana mtu anaepinga hii union badala ya kupendekeza kipi kiboreshwe.

Wengi wetu wanamihemko ya kisiasa thats why they dont see the bigger picture.
Sasa si useme ni kipi hasa? Wabongo bana bila ww kuambiwa na huyo waziri pengine mpaka sasa ungekuwa mstari wa mbele kupinga muungano.
Sasa umejua ila hutaki kusema tukueleweje?
Jinga sana ww.
 
Sasa si useme ni kipi hasa? Wabongo bana bila ww kuambiwa na huyo waziri pengine mpaka sasa ungekuwa mstari wa mbele kupinga muungano.
Sasa umejua ila hutaki kusema tukueleweje?
Jinga sana ww.
Nnamashaka na motorcoordination yako.
 
Back
Top Bottom