Majasusi wa Marekani wafichua namna walivyoipeleleza Tanzania

Ushuzi kweli wewe
 
Pumbavu sana wewe na Trump wako. Mwanaume/ mwanamke mzima unashindwa kufight mwenyewe unamtegemea Trump?! Kwa lipi hasa? Acha umama mama, napiga picha huyo Trump asingekuwepo ungeficha mkia! Ukaufyata?!
Kweli wewe ni ushuzi.
Hilo ni tusi au sifa??
Pole kwa mama yako aliyekuzaa, Jitihada zake zote za kukulea hizi ndio shukurani unazompa.
 
Kurasa Milioni 12!

[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Pumbavu sana wewe na Trump wako. Mwanaume/ mwanamke mzima unashindwa kufight mwenyewe unamtegemea Trump?! Kwa lipi hasa? Acha umama mama, napiga picha huyo Trump asingekuwepo ungeficha mkia! Ukaufyata?!
Kweli wewe ni ushuzi.
Aache umama umama,hivi unajua thamani ya mwanamke wewe
 
Kuna CIA Mmoja aliwahi kutoa reporr akisema tanzania inaongoza nchi sita ..imeweka watu wake..mpango wa kumharibia mwl legacy yake imeanza zamani sana..ni wakti huo CIA walianza kampen ya kufanya jina la mwl lififie asitajwe mahali popote na aonelane si mtu wa maana katika bara la africa na dunia..walifanikiwa kwa kiasi flana maana hata katika jengo la AU mwanzo hapakuwa na picha ya mwl kama mmoja wa viongozi mashuhuli wa africa..ni juzi tu mgabe ndo karibia alie alipowaeleza wenzake huko AU akasema wote hapa tumepitia tanzania katika kupata uhuru wa nchi zetu lakini huyu mtu haheshimiki na amesahaulika..kuna moja ya jengi pale AU limepewa jina la mwl.
Ki uhalisia mandela si mtu maarufu kumzidi nyerere..tumemhifadhi hapa mara kadhaa mpaka akaacha viatu vyake hapa..wazungu waliamua kimkweza kisa hakulipa kisasi basi..
Misimamo ya mwl ilikuwa dhahili huko duniani..mwl aliheshimika sana na penye hapana alisema hapana..nakumbuka wakati anaitambua Biafra kama nchi huru alisema kwa moyo wa dhati kabisa kuitetea biafra..mwisho akasema will africa understand??!
Taswila ya tanzania kina mkapa ndio wameiharibu huko dunian kianzia mwaka 1996..na kuna siku mwl akiwa msasani akawaita mwinyi na mkapa..wakaenda ..walipofika mwl akachuma papai akampa mkapa na kisema nimewaita nije nikupe papai hili..nchi hii nimeitunza kama nilivtiutunza mti wa hili papai na mpaka papai limeiva na kukomaa..mbona wewe unaanza kuharibu nchi..unachuma matunda kabla hayajakomaa??..sijui kama mkapa alielewa mwl alimaanisja nini?!
Mwl alikuwa mkali ila thabiti katika uongozi hakutaka mzaha..nakumbuka kuna mbunge mmoja wakat huo wa chama kimoja alikuwa akimpinga mwl sana bungeni..kuna siku akaitwa ikulu akaja..akaingizwa kwenye chumba kimoja chenye meza ya umbo yai na viti kama kumi hivi..akakalishwa upande mmoja wa meza..kisha mwl akaingia ndani ya kile chumba ameshika fimbobyake..bila kumsemesha na kumsalimia..mwal akasimama huku akimsonta kwa fimbo yule mbunge..kama dk kumi na tano kisha akaondoka mle ndani..yule mbunge akaondolewa na kuambia mazungumzo mwl yamekwisha na kuruhusiqa kuondoka..yulembunge aligeuka kuwa bubu bungeni.....(hili nimechomekea tu )lakini cia mpaka leo wanajua kabisa kwamba mwl aliwa outsmart katika mambo mengi...mengine yaliyofuata mpaka kifo yamebaki historia..
 
Ni mambo gani hayo eleza basi tupate kufahamu.

Halafu nilichompendea sana Mwalimu ni ile fikra yake ya kuwapa watanzania elimu nakumbuka watu walisomeshwa kuanzia ngazi za chini mpaka vyuoni hawakulipia hata senti, lakini sasa haohao waliosomeshwa na mwalimu hawakumbuki chochote na wameshasahau wanafurahia kuona watanzania wanalia mbele ya kamera za waandishi wa habari kulilia mikopo vyuoni.

Ajabu sana hii na hakika inasababisha wengi waishi kwa masikitiko na mifadhaiko inayojenga chuki kubwa.
 
MKUU tupia linki ya hizo nyaraka tuzisome
 
Mkuu tunaomba utuekee link ma sisis tupate maalifa
 
shuk
shukrani mkuu kwa kutuwekea link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…