Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
- #221
Urusi imewanywa wanajeshi 200 wa Ukraine kwenye shambulio la stesheni ya treni. Hizi ndio habari tulizozimiss kitambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ungeandika kwa herufi ndogo ungeeleweka tu Mkuu [emoji3].Hizo ni propaganda za Ki Comunist siku zote ndiyo maana hata N.Korea utaoneshwa watu wake wana maisha mazuri zaidi kuliko S.Korea wakati ki uhalisia ni Maskini wa kutupwa katika ukanda huo.Unasema Russia kila kitu anajitengenezea mwenyewe na hana shida,kama ni hivyo mbona kapigwa sanctions na ameyumba ki uchumi vibaya sana.
URUSI NDO TAIFA AMBALO KILA KITU UNACHOKIJUA WEWE KWA HAPA DUNIANI WANAJITENGENEZEA WENYEWE.WANANCHI WAKE UWEZI UKASIKIA WANAOMBA OMBA KAMA MATAIFA MENGINE,DUNIANI UKIWA NA (GESI,MAFUTA,MADINI NA CHAKULA) UWEZI UKAWA NA SHIDA.WE USHANGAI WATU WANACHANGISHANA KWA AJILI YA KUMCHANGIA ILA YEYE WALA HANA WASIWASI ANAZIDI KUONGEZA KIPIGO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimejikuta nacheeeeeeka sana. Sina uhakika kama tutakuelewa kadri ulivyolenga