Majasusi wa Urusi (FSB) wambaini m-Ukraine aliyetega bomu Urusi na kumuua binti mwandishi wa habari (Darya Dugina)

Urusi imewanywa wanajeshi 200 wa Ukraine kwenye shambulio la stesheni ya treni. Hizi ndio habari tulizozimiss kitambo.

 
Nani kasema ameyumba kana sio maadui zaje?.we adui yako anaweza kukusemea vizuri
 

Wachache watakuelewa mkuu, media za magharibi zimefankiwa sana kuwachota akili baadhi ya watu hapa Duniani, mara nyingi wanarudia rudia ngojera za CNN,BBC,VoA nk - inashangaza sana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…