GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ukishajua itakusaidia nini?
Weka front page hiyo tuione
Nimeona hyo mkuu.
Gazeti la Malawi limeandika kwamba walienda kuchunguza kama Wanatengeneza silaha za nuclear. Sasa sijui kama ni propaganda ama chokochoko za hawa wenzetu.
Ukishajua itakusaidia nini?
Nawachukia watu wanaohusudu lugha ya matusi kwa wenzao
Sasa majasusi gani wanatembea kwa pamoja .
.au masomo waliyofundishwa hawakuzingatia ..ujasusi mission kama iyo inabid mtu ajifanye kuomba kaz hapo hapo na kujifanya mmalawi wa asili
....au ndio huwa hawasomi mossad wanavofanya kazi
Kwani haiwezekani au hujui?Huu ni uchochezi wakupandikizwa, majasusi watembee group?
Inawezekana Ben Saa8 na yeye ni mmoja wao.