Majasusi wabobezi 8 wa Kitanzania wakamatwa nchini Malawi

Majasusi wabobezi 8 wa Kitanzania wakamatwa nchini Malawi

Kumbe mnawasaka na majasusi wa jf mkuu

Binafsi nina hamu sana niwafahamu hawa Majasusi waliopo humu JF ili nasi tuwakamate kwani nasiki wapo wengi mno humu na sifa yao moja kubwa nasikia ni kuwa na multiple ID's. Tuanze kuwataja jamani isije ikawa tunadukuana na kudukuliwa humu JF bila ya sisi kujua kisha ikala kwetu Wana!
 
Jambo siriasi kama hili watu wanalichangia kwa utani utani, hivi hamjui kuwa 'DECEPTION IS A WEAPON TO EVERY WAR'. Malawi ni nchi wala isichukuliwe kirahisi sana kiasi cha kutokuwa na wasiwasi wakati WASIWASI NDIYO AKILI YA KIUSALAMA. Naipenda Tanzania yangu.

Baelezee Mukulu Bilanga paka bakuelewe hawa batoto ba Tanzania kwani ni babishi muno.
 
1517946-Club_Marina_Karonga_District.jpg


Labda Ben Saanane alipita Karonga na pengine kujirusha kwenye hii klabu maarufu iitwayo Marina.
Kuna machangu kinaoma hapo.
 
Sasa majasusi gani wanatembea kwa pamoja .
.au masomo waliyofundishwa hawakuzingatia ..ujasusi mission kama iyo inabid mtu ajifanye kuomba kaz hapo hapo na kujifanya mmalawi wa asili
....au ndio huwa hawasomi mossad wanavofanya kazi
Na inabidi awe ni mtaalamu wa nuclear aliyebobea.
 
Hii habari ni ya kitoto na ndio maana serikali haijakanusha mpaka sasa.

Halafu nikiwa nawadharau na kuwatukaneni humu huwa mnaninunia na kuniona mbaya. Kwa taarifa yako tu hata Waziri wako wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ( ambaye nae pia Jasusi Mbobezi na Mwandamizi japo ameshastaafu sasa ) Balozi Dkt. Augustine Mahiga amelipokea hili na sasa linafanyiwa Kazi na pengine muda wowote kuanzia sasa kutakuwa na Press Conference ambapo anaweza kuzungumza Yeye au Msemaji wa Wizara Mindi juu ya hili tukio ila alipotafutwa maneno aliyosema ninayanukuu " Hizi taarifa kama ni za kweli basi ni za hatari sana hasa ukizingatia tunajiandaa kuwa na Mkutano na wenzetu Wamalawi juu ya Ziwa Malawi. Ngojeni niongee na wenzangu na Watu wa Intelligence nijue kuna nini kisha nitawajuzeni ".

Kitendo cha Waziri tu kufuatwa, kuulizwa na kulivalia njuga kupata ufafanuzi na ufumbuzi wake automatically hapo tayari Serikali inafahamu. Hebu tuache kuwa Wapuuzi jamani na tukija humu JF tujitahidi basi kuonyesha kuwa kweli ni Great Thinkers na siyo Wachuuzi wa Kariakoo au Feri.
 
Huwezi kuwa mbobezi halafu ukakamatwa badilisha hiyo heading mkuu

Ni Wabobezi wangapi hapa duniani tunawajua lakini walikamatwa? Tokea udogo wetu those days in 90's tuliaminishwa kuwa Hayati Saddam Hussein na Muamar Ghaddafi ni Wanajeshi wa ngazi za juu kabisa ambao wamebobea hadi katika Mafunzo ya Ukomandoo lakini tulishikwa na butwaa pale wote wawili walipokamatwa kama Panya chini ya uvungu na kuuwawa. Kama hiyo haitoshi hapa hapa Tanzania tunao Madaktari Wabobezi kabisa ( Specialists Medical Doctors ) lakini cha kushangaza pamoja na Ubobeaji wao ndiyo hao hao kutwa wanamfanyia Mtu Oparesheni ya Ugoko badala ya Sikio na kuwapa Watu Vilema vya kudumu. Vipi niendelee na references zangu zingine za dhania nzima ya neno Ubobezi Mkuu?
 
Wallah nilitaka kusema hivi kabla yako nikaacha .[emoji87]

Mwambie Mumue hapo juu atutafsirie na asidhani wote tumeishi Ulaya kama yeye wakati Watu wengine humu tumuzaliwa Matombo na kukulia Kihonda na hiyo lugha kwetu ni mtihani kuielewa. au kama vipi Wewe Mkewe sasa tudhihirishie kuwa upo vizuri kwa Ngeli kama Mumeo au pengine hata kumzidi na ututafsirie huo Ung'eng'e hapo kwani si wa ki spoti spoti.
 
When one body exerts force on a second body, the second body simultaneously exerts a force equal in magnitude and opposite in direction on the first body.
Mhhh hakuna kitu Kama hicho,
Embu kaa nikutandike nyundo Moja ya kichwa alafu utoe uhakiki
 
Back
Top Bottom