Majenereta ya umeme ni ya nani haya jamani?

Majenereta ya umeme ni ya nani haya jamani?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Kumbe hawa Viongozi wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao za kuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli, aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.


 
Muda mwingine ni upuuzi wetu wenyewe.

Upuuzi wetu unawapa kiburi viongozi wenye njaa kufanya wanavotaka maana hamna wa kuwauliza. Tunabaki kuimba Magufuli Magufuli, hatuchukui hatua yoyote kuyapinga haya, tunabaki kuyaimbia tu kwenye mitandao ya kijamii.

Wapinzani nao wameshaona hamna namna ya kumpigania mTZ nao wamekaa kimya sasa wanapigania kula yao na familia zao. Chakutesekea ni nini bana watu wenyewe wapuuzi?

Si wa kuamua kwenye masanduku ya kupiga kura.
Wakiibiwa kura ambayo ni haki yao wanakaa kimya.
Si wa kupinga vitendo viovu!
Si wakuandamana wala kugoma.
Yaani kwa kifupi hatuna ujasiri, umoja wala mshikamamo.

Wacha wafanye wanavyotaka, haya ndio maisha aliyoyachagua mTZ

Sichochei vurugu, ila tujifunze hata kwa wenzetu.
 
Kumbe hawa Viongozi wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao za kuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli, aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.


View attachment 2443562
Mali ya Mwezi wa Kwanza, kwani hamkusikia Mwaka wake unavyong'aka kuhojiwa wiki iliyopita?
 
Upuuzi wetu unawapa kiburi viongozi wenye njaa kufanya wanavotaka maana hamna wa kuwauliza. Tunabaki kuimba magufuli magufuli, hatuchukui hatua yoyote kuyapinga haya
Itawezekana iwapo polisi watavaa sare za blue au rangi nyingine ila siyo kijani au njano
 
"Jamani jamani amekufa Magufuli sasa nasi tunakufa mapema tu".

Alisikika mama mmoja (au niseme m bibi mmoja) miongoni mwa wengi waliokuwa wakisubiri huduma ya matibabu katika hospt fulan ya serikali huku wahudumu wakipiga story tu kama vile hawana wagonjwa, wakiwapita tu kama hawawaoni na wakitaka kuhudumia kauli zao za kufoka kama wanafokea watoto!!. Duh maneno ya jpm kweli bado yanaishi.
 
Tanzania kuna viwanda vya uongo. Njooni Iringa muone mto Ruaha kuanzia bonde la usangu kote kumekauka, mtera, pangani n.K maji yatatoka wapi?

Ni kosa kubwa kutegemea umeme wa maji badala ya vyanzo vingine kama gesi na upepo.
 
Mda mwingine ni upuuzi wetu wenyewe.
Upuuzi wetu unawapa kiburi viongozi wenye njaa kufanya wanavotaka maana hamna wa kuwauliza. Tunabaki kuimba magufuli magufuli, hatuchukui hatua yoyote kuyapinga haya, tunabaki kuyaimbia tu kwenye mitandao ya kijami...

Ume describe hali ya mtanzania halisi. Until tutakapo amka kutoka usingizini hakuna mabadiliko yatafanyika
 
TANZANIA KUNA VIWANDA VYA UONGO. NJOONI IRINGA MUONE MTO RUAHA KUANZIA BONDE LA USANGU KOTE KUMEKAUKA, MTERA, PANGANI N.K MAJI YATATOKA WAPI?

NI KOSA KUBWA KUTEGEMEA UMEME WA MAJI BADALA YA VYANZO VINGINE KAMA GESI NA UPEPO.
Maji yapo ziwa Victoria maji yapo Ziwa malwai maji yapo ruvu maji yapo mto rufiji maji yapo Ziwa Tanganyika Tuna Mito na Maziwa mengi nchini mwetu.

Hatuna viongozi imara maji tunayo mengi sana lakini hatuna viongozi imara wa kuyashughulikia maji . Angalia Dubai hawana mito wala maziwa lakini wanakunywa maji mazuri na umeme upo sisi Mungu ametupa Mito na maziwa tunalalamika maji hakuna?

Ahhhhh Ni nani aliye turoga? Aliye waroga Wa-Tanzania amesha kufa hautıuwezi kuamka maisha.
 
Ume describe hali ya mtanzania halisi. Until tutakapo amka kutoka usingizini hakuna mabadiliko yatafanyika
Absolutely !! Mere complaints won't solve anything. The fact is no one out there is having sleepless nights thinking about getting rid of your worries and making life better for the better in your favour !!! It's all about them and their immediate ones !!!As long as you have decided things to be that way then expect no changes and no mercy !!!
 
Hiyo ni akili ya kawaida kwa mfanyabiashara siku zote, akiona fursa lazima aitumie, bila kujali kama ni mfanyabiashara mwanasiasa, au asie mwanasiasa.

Japo inawezekana ikawa inamhusisha mwanasiasa, kwasababu kama alijitokeza akatangaza mitungi ya gas ya Taifa bila hofu, na kinyume cha sheria za ushindani, basi sitashangaa kama hiyo biashara ya majenereta itakuwa yake, au ya marafiki zake, ni mwendo wa kupiga dili tu.
 
Back
Top Bottom