Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usituaminishe ujinga we ,unazani si ni wapimbuvuTanzania kuna viwanda vya uongo. Njooni Iringa muone mto Ruaha kuanzia bonde la usangu kote kumekauka, mtera, pangani n.K maji yatatoka wapi?
Ni kosa kubwa kutegemea umeme wa maji badala ya vyanzo vingine kama gesi na upepo.
Hakuna kwakoHAKUNA Kitu kama Hicho
Siku tikiungana kama wenzetu kule Uarabuni miaka ya nyuma au Iran kwa sasa naamini kabisa hawa wakoloni weusi ndio wangejua sasa wa Tz wameamka na wasingerudia tena haya wanayotufanyia!Si wa kuamua kwenye masanduku ya kupiga kura.
Wakiibiwa kura ambayo ni haki yao wanakaa kimya.
Si wa kupinga vitendo viovu!
Si wakuandamana wala kugoma.
Yaani kwa kifupi hatuna ujasiri, umoja wala mshikamamo.
Tanzania kuna viwanda vya uongo. Njooni Iringa muone mto Ruaha kuanzia bonde la usangu kote kumekauka, mtera, pangani n.K maji yatatoka wapi?
Ni kosa kubwa kutegemea umeme wa maji badala ya vyanzo vingine kama gesi na upepo.
Umeongea kifalsafa MNO.MChakutesekea ni nini bana watu wenyewe wapuuzi?
Si wa kuamua kwenye masanduku ya kupiga kura.
Wakiibiwa kura ambayo ni haki yao wanakaa kimya.
Si wa kupinga vitendo viovu!
Si wakuandamana wala kugoma.
Yaani kwa kifupi hatuna ujasiri, umoja wala mshikamamo.
Wacha wafanye wanavyotaka, haya ndio maisha aliyoyachagua mTZ
Sichochei vurugu, ila tujifunze hata kwa wenzetu.
hoja yako ningefikiria mara mbilimbili kama usingeweka picha hiyo, maana inaonyesha ushabiki na uchonganishi tu wala si uhalisia. picha hiyo imepigwa kama sio deport basi ni bandarini wakati yanapakuliwa. hatujui pengine yalikuwa on transit to burundi or congo drc, halafu pia hayo ni heavy duty ningekuelewa kidogo kama ungebandika majenereta ya kawaida kabisa na yametapakaa madukani kariakoo, magomeni, mwandiga, kirumba. hapo ningekuelewa kuwa kumbe mgao wa umeme unachochea biashara ya majeneretaKumbe hawa Viongozi wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao za kuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli, aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.
View attachment 2443562
Mwanzoni nlidhani ww ni great thinker kumbe ushakua na akili za JPM. Sasa lini majenereta hayajawahi kuagizwa nchi hii kiasi yakija ndio eti yauze kukiwa na mgao!! Are you serious?Kumbe hawa Viongozi wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao za kuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli, aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.
View attachment 2443562
Mbona mradi wa ziwa Victoria upo sana tu na Maji yameshavuka Hadi Nzega kuelekea Singida!! Hamfanyi tafiti kazi kuropoka tu. Mambo ya mabwawa kukauka yapo na ndio maana serikali imehamia kwenye gesi ila Kwa kuwa ni wakosoaji wa Kila kitu hamuoni kma ni progressMaji yapo ziwa Victoria maji yapo Ziwa malwai maji yapo ruvu maji yapo mto rufiji maji yapo Ziwa Tanganyika Tuna Mito na Maziwa mengi nchini mwetu.
Hatuna viongozi imara maji tunayo mengi sana lakini hatuna viongozi imara wa kuyashughulikia maji . Angalia Dubai hawana mito wala maziwa lakini wanakunywa maji mazuri na umeme upo sisi Mungu ametupa Mito na maziwa tunalalamika maji hakuna?
Ahhhhh Ni nani aliye turoga? Aliye waroga Wa-Tanzania amesha kufa hautıuwezi kuamka maisha.