Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Naamini kauli ya JPM kuhusu haya yanayoendeleaKumbe hawa Viongozi Wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao zakuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.
View attachment 2443562
Points tupuMda mwingine ni upuuzi wetu wenyewe.
Upuuzi wetu unawapa kiburi viongozi wenye njaa kufanya wanavotaka maana hamna wa kuwauliza. Tunabaki kuimba magufuli magufuli, hatuchukui hatua yoyote kuyapinga haya, tunabaki kuyaimbia tu kwenye mitandao ya kijamii...
HAKUNA Kitu kama HichoAma kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli
Mali ya Mwezi wa Kwanza, kwani hamkusikia Mwaka wake unavyong'aka kuhojiwa wiki iliyopita?Kumbe hawa Viongozi wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao za kuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli, aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.
View attachment 2443562
Itawezekana iwapo polisi watavaa sare za blue au rangi nyingine ila siyo kijani au njanoUpuuzi wetu unawapa kiburi viongozi wenye njaa kufanya wanavotaka maana hamna wa kuwauliza. Tunabaki kuimba magufuli magufuli, hatuchukui hatua yoyote kuyapinga haya
Wako moto sana jamaa.Mali ya Mwezi wa Kwanza, kwani hamkusikia Mwaka wake unavyong'aka kuhojiwa wiki iliyopita?
Mda mwingine ni upuuzi wetu wenyewe.
Upuuzi wetu unawapa kiburi viongozi wenye njaa kufanya wanavotaka maana hamna wa kuwauliza. Tunabaki kuimba magufuli magufuli, hatuchukui hatua yoyote kuyapinga haya, tunabaki kuyaimbia tu kwenye mitandao ya kijami...
Maji yapo ziwa Victoria maji yapo Ziwa malwai maji yapo ruvu maji yapo mto rufiji maji yapo Ziwa Tanganyika Tuna Mito na Maziwa mengi nchini mwetu.TANZANIA KUNA VIWANDA VYA UONGO. NJOONI IRINGA MUONE MTO RUAHA KUANZIA BONDE LA USANGU KOTE KUMEKAUKA, MTERA, PANGANI N.K MAJI YATATOKA WAPI?
NI KOSA KUBWA KUTEGEMEA UMEME WA MAJI BADALA YA VYANZO VINGINE KAMA GESI NA UPEPO.
Absolutely !! Mere complaints won't solve anything. The fact is no one out there is having sleepless nights thinking about getting rid of your worries and making life better for the better in your favour !!! It's all about them and their immediate ones !!!As long as you have decided things to be that way then expect no changes and no mercy !!!Ume describe hali ya mtanzania halisi. Until tutakapo amka kutoka usingizini hakuna mabadiliko yatafanyika