Majeneza getini mwa Hospitali ya Amana hayaleti taswira nzuri kwa Wagonjwa.

Kabisa na marketing pia, imagine unaenda na mgonjwa wako accidentally macho yamekutana na jeneza Zuri mpaka mwenyewe umelitamani, πŸ˜€ , M.Mungu atuepushie tu.
Looh!! πŸ˜ƒ
 
Sina uhakika mkuu kwenye majeneza
Lakini hospitali huwa hatuwaambii wagonjwa wakaribie tena
....aaaaah kuna daktari aliwahi kuniambia kauli kama ya karibu tena...akajishitukia akaipoza...nilimuuliza hivi siku hizi mnatumia mashine hii kupima?! ...akasema mbona ya muda tu...hujawahi kuiona wakati wewe ni mteja wetu wa mara kwa mara!
 
sadly 2090 humu patakua na comments, reply na avatar za marehemu kibao

dah hakuna kitu kibaya kama kifo nachukia sana kifo mimi
Sasa mkuu tusipokufa kupungua wengine wataishi wapi?

Imagine kungekuwa hakuna kifo Halafu, Binadamu tunazaliwa tu, kila siku...πŸ€”
 
Sio tu kwa mgonjwa ila hata wewe ambae unampeleka mgonjwa wako ambae yupo seriously ukiaona lazima ujisikie vibaya.
 
NAunga mkono hoja kiukweli hii si sawa hata kidogo. Kisaikolojia imekaa vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…