Majeneza ya kisiasa yasiyo na watu na hatma ya Taifa

Akikujibu ni TAG.
 
Tunaomba maneno Kama haya umufikishie Mwenyekiti wako wa CHAMA!Tunaomba umfikishie ujumbe huu DAB kule Arusha.Tunaomba umufikishia Waziri asiye na wizara .Tunaomba na wewe uliyesehemu ya team ya taifa ya kumwaga Damu uanze kuomba toba ili laana isije kutafutana Baba ,mama ,watoto na ndugu zako wote
 
Lakini embu tutafakari inakuwaje siasa zetu za ndani zina leta machungu, visasi na hata mageneza yasio na watu yes majeneza yasio na watu ambayo watu wao wataomboleza mpaka Yesu arudi.
Hapa kidogo unakuja kuja
 
Sasa kama unayajua haya mbona unawaunga mkono watuhumiwa? Mnafiki
 
Viongozi au tuseme watawala wetu jamani tafakarini kwa kina MAMBO yenye madhara haya ili MUNGU akupeni baraka .
Baraka gani? Kama Mungu mwenyewe ameacha yatendeke unadhani maneno yako yatawazuia kumwaga damu?
 
Kauli za kisiasa na uhaini vina mahusiano Gani?
Chura anaposema maneno kama haya"serikali haipinduliwi hivyo!!""Tutailinda katiba",nimesikiliza clip ya nchimbi na viongozi wa Chadema "

Pia Mzee msoga nae "Ili nchi itulie unapaswa kuwasikiliza wazee!!!" Sio kila mzee ni mu asisi was chama


Hizi kauli zinahalalisha kushughulikiwa watu Fulani Fulani hata kuuawa watu Fulani Fulani wanaohisiwa au kuhusika!!
 
Sasa kupanga mikakati ya kumtoa SSH na CCM madarakani Kwa michakato halali ya kidemokrasia iliyoruhusiwa kikatiba Kuna kosa Gani?

Viongozi wajifunze kuwa, Kwa Majeshi anaitwa Amiri jeshi mkuu,

Lakini Kwa raia, ni mwajiriwa tu ambaye anaweza kuangushwa kupitia Sanduku la kura.

BUSARA itumike kutenganisha kofia hizi na kujua kuzitumia.
 
Dhima ya andiko langu nikukosoa mauwaji ya kisiasa while cc tumekubali vyama vingi.
Dhima ya pili sitaki kuingilia swala la usalama qa taifa na raia wake uhaini ni swala lakuhitaji hoja pana
 
Aliyeuliwa ni Habili, Kaini ndie muuaji.
P
 
Nawaza dk za mwisho za mzee ALI KIBAO kwavyovyote alitoa sauti ya kilio cha maumivu makali pale walipoanza kumtoboa macho angali hai na anaona. Inaumiza sana.
 
Yeremiah 17:5-
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
 
Dhima ya andiko langu nikukosoa mauwaji ya kisiasa while cc tumekubali vyama vingi.
Dhima ya pili sitaki kuingilia swala la usalama qa taifa na raia wake uhaini ni swala lakuhitaji hoja pana
Hoja yako namba mbili sikubaliani nayo katika Nchi inayofuata mfumo wa kisheria ambapo tunategemea masuala ya Uhaini yaamuliwe na mahakama na siyo hisia za mtu na mtizamo wako.

Naomba pia ujibu post namba tatu ya mdau Tate Mkuu . jibu tupate majibu maana ipo mwanzoni kabisa na naamini umeiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…